Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

Hivi maccm mnaumia nini na ofisi ya chadema?

Mwambe atagombea lakini mjue Lissu amerudi na ndio mwenyekiti mtarajiwa
 
Pia Mwambe anatarajia kuupa nguvu umoja wao wa vijana yaani Bavicha ambao kwa sasa ni kama umekufa ganzi huko mikoani na kubakia Dsm tu.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Hatari sana hii mambo
 
Majengo yote ya CCM yamejengwa kwa michango ya wanachama na sasa wanajenga chuo kikuu cha kisasa kabisa pale Kibaha.

Mwambe yuko vizuri!
Hata makao makuu ya Dodoma yamejengwa na michango ya wananchi, we mzee hujitambui!
 
Ccm hawajawahi kujenga ofisi of their own, wanatumia majengo ya serikali na hilo wanalijua fika.

Muda unakuja watabaki bila ofisi, kama hawafahamu wawaulize Kanu na Unip.
 
Kwa pesa ipi wakati ruzuku zote hadi DEC 2020 mbowe alishazichukulia mkopo benk

Pesa ikiingia tu benk wanakuala ,hivi hamjui kuwa mbowe alishaimaliza chadema

State agent

Mkuu,tuwekee ushahidi wa haya uliyoyasema na sisi tujionee."Maendeleo hayana vyama"
 
Ninyi vyama vya upinzani piganieni katiba.Nimeshangaa kuona Bashiru anamchimba mkwara jaji mkuu.
 
Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu.

Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale kinondoni kwenye nyumba ya NHC iliyokuwa chini ya rip Bob Makani. Baadae Chadema walifanikiwa kuimiliki nyumba hiyo na kuifanya kuwa makao makuu.

Wapambe wa Mwambe wanadai kuwa Chadema ni chama kikubwa kinachostahili kuwa na ofisi zenye hadhi yake kama lilivyo jina lake Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Pia Mwambe anatarajia kuupa nguvu umoja wao wa vijana yaani Bavicha ambao kwa sasa ni kama umekufa ganzi huko mikoani na kubakia Dsm tu.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!

Cecilia whatever her name is,akigombea pekee yake bila competitor atapata kura kama Sumaye!

Mnadhani Chadema ni mafala sana eeee?

Fvck’yall!
 
Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu.

Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale kinondoni kwenye nyumba ya NHC iliyokuwa chini ya rip Bob Makani. Baadae Chadema walifanikiwa kuimiliki nyumba hiyo na kuifanya kuwa makao makuu.

Wapambe wa Mwambe wanadai kuwa Chadema ni chama kikubwa kinachostahili kuwa na ofisi zenye hadhi yake kama lilivyo jina lake Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Pia Mwambe anatarajia kuupa nguvu umoja wao wa vijana yaani Bavicha ambao kwa sasa ni kama umekufa ganzi huko mikoani na kubakia Dsm tu.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Asante kwa taarifa tatizo la chadema mnataka wadau ama wanachama wajitolee mwanzo mwisho ndiyo maana mnafeli mkono mtupu haulambwi lazima chama kiwe na miradi mnapata ruzuku mnashindwa kuwa wabunifu ?
 
Asante kwa taarifa tatizo la chadema mnataka wadau ama wanachama wajitolee mwanzo mwisho ndiyo maana mnafeli mkono mtupu haulambwi lazima chama kiwe na miradi mnapata ruzuku mnashindwa kuwa wabuinifu ?
Ahsante kwa ushauri mkuu....... Dr Mashinji amekusikia!
 
Back
Top Bottom