johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wajumbe waliopiga kura za maoni jimboni Ndanda walimbana vilivyo mtia nia Cecil Mwambe juu ya uhalali wa uanachama wake ikizingatiwa kuwa baada ya kupokelewa na komredi Polepole, Mwambe alirudi tena bungeni kuitumikia Chadema.
Mwambe alikiri kurudi kwake CCM na kupokelewa na Polepole lakini alirudi tena bungeni baada ya kuitwa na Spika Ndugai kufanya maigizo na siyo kuitumikia Chadema.
Wajumbe walimtosa kamanda Mwambe.
Maendeleo hayana vyama!