johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee CCM hawanaga utani kwenye maswala ya msingi.Hii habari nimeisoma twitter nikaona kama ni utani!
Hapa Kazi Tu!Shikamoni Wajumbe ccm
Kweli hamtaki mchezo
Ova
Sio maswala ya msingi sema kwenye maswala yanayohusu ccm yaoBwashee CCM hawanaga utani kwenye maswala ya msingi.
Uliwaona Tunduma walivyompigisha magoti Silinde?
Hawana utani kwenye swala la vyeo/fursa na sio kwenye mambo ya msingi.Bwashee CCM hawanaga utani kwenye maswala ya msingi.
Uliwaona Tunduma walivyompigisha magoti Silinde?
Mipira ya kiume kwenye pakiti kuna maneno ya kiingereza 'discard after use'Wajumbe wana akili kuliko Mwambe wamemchinjia ufukweni