Cecil Mwambe: Mimi ni CCM mwenzenu nilirudishwa bungeni na Spika Ndugai kuigiza

Kwahiyo anataka ridhaa ili akaendelee kuigiza?
 
Kinachonisikitisha zaidi ni kuona wanaotoka CCM kwenda CDM wanapokelewa kama malaika na kupewa vyeo na nafasi kubwa.

Lini upinzani utaamka?
 
So imekula kwake.Furaha ya wiki 2 inageuka Kuwa huzuni miaka 5. Tehetehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sio miaka 5 tuu, upuuzi wake umeingia katika historia ya maisha yake yote.
Maswali hayo ni aibu kubwa kwa Ndugai na hata Magufuli aliyeyabariki mbinu hizo. Ni wazi kuwa matendo ya ununuzi wa wabunge wa upinzani na chaguzi ndogo za kulazimisha warudi kuitumikia CCM ilihali hawana itikadi ya CCM yalikuwa yanawakera na kuwaudhi wanaccm wenye chama.
Sasa ni wazi kuwa Mwenyekiti alikuwa anawaburuza wanachama apendavyo na hata like swali la mjumbe wa Songwe kwenye mkutano mkuu ni PANA ZAIDI YA PALE
 

Cecil Mwambe ni popoma. Eti DUME mwenzio anakuita Dodoma nawe unaenda! Mhh! Hamnazo, mtoto si riziki.
 
Ndo maana alilalamika kuwa Ndugai siku hizi amekataa kupokea simu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…