johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Bado anagombea kanda ya kusini?!Haya. Kumbuka kula na kunywa na upumzike.
Dada, nakwepa kuuharibu Uzi wako. Hebu nipotezee. Nakushauri upunguze roporopo tu!Bado anagombea kanda ya kusini?!
Nyie ndio mnafanya mawakili wa Kenya wawadharau wanasheria wa Tanzania........ Umeshawahi kushinda kesi kweli wewe au ndio degree za Gambo hizo?.........Bure kabisa!
Unadhani kungelikuwa na mwenyekiti mwingine figisu na wagombea kwenye serikali za mitaa wasingeenguliwa!?Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Mbwiga huna uwoga wowote kama uliwexa kumtapeli Mwenyekiti wako akakaa mahabusu Krismasi na mwaka mpya ndio utaogopa kuharibu uzi mimi usiyenijua.Dada, nakwepa kuuharibu Uzi wako. Hebu nipotezee. Nakushauri upunguze roporopo tu!
Ndiyo demokrasia hiyo,hongera zake.Lakini kama fomu wangechukuwa watu aina ya Heche nisingekuwa na mashaka.Tulipofikia sasa haihitajiki tena siasa baridi.Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.
Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.
Source Global tv
My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Hahahaaa......... Mwambe anakuja huko mpeni ushirikiano!Acha unafiki we kibwengu wa Lumumba. Nyambafu
Nguruwe wa Lumumba tumewaachia shamba la mihogo ( Serikali za mitaaa na vitongoji) endeleeni kufakamia tuacheni na mambo yetu. Na Mbowe ilikuwa asigombee lakini jinsi mnavyohangaika tumeamua kumpa mitano mingine,vimbeni hadi mpasuke. Na huyo Cecil jiwe ndiye kamharibia kabisa.Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Mwambe anataka kuibadilisha Chadema kutoka kundi la wanaharakati kuwa chama cha siasa!Ndiyo demokrasia hiyo,hongera zake.Lakini kama fomu wangechukuwa watu aina ya Heche nisingekuwa na mashaka.Tulipofikia sasa haihitajiki tena siasa baridi.
Hatusikilizi maccm mkuu.Umemsikia Mwambe lakini?!
So what..?Acha unafiki we kibwengu wa LumumbaHahahaaa......... Mwambe anakuja huko mpeni ushirikiano!
we jamaa unakurupuka sana, Kama umeshawahi kushinda hata kesi ya wizi wa kuku nitadharau sana mahakamaHapo anauzungumzia Uenyekiti wa Kanda ya Kusini. Sidhani kama inawezekana kwake kugombea Uenyekiti wa Kanda na wa Taifa.
Punguza kulazimisha mada za kitoto kama hizi. Uwe unafuatilia mambo na kuyajua kabla ya kukurupuka na kuanzisha mada humu.
Uione: johnthebaptist
Amepewa ujasiri na jiwe.Mbna amekuja kwa mikwara hv?
Kusini kuchele!So what..?Acha unafiki we kibwengu wa Lumumba
Bila shake wewe ndio umekurupuka, Mwambe anataka Uenyekiti CHADEMA Taifa.Hapo anauzungumzia Uenyekiti wa Kanda ya Kusini. Sidhani kama inawezekana kwake kugombea Uenyekiti wa Kanda na wa Taifa.
Punguza kulazimisha mada za kitoto kama hizi. Uwe unafuatilia mambo na kuyajua kabla ya kukurupuka na kuanzisha mada humu.
Uione: johnthebaptist
Hahahaaa....... hahahaaa....... Wasomi wa jalalani bhana!
Mpeni huko LumumbaHahahaaa......... Mwambe anakuja huko mpeni ushirikiano!
Kama ni mtu wa kaskazini kabila kubwa atamuweza Aikaeli lakini kama sio ajiweke pembeni au kawekwa na mbowe mwenyeweMbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya