SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kama wapiga kura watakuwa nguruwe wa Lumumba sawa.CHADEMA wanatamani wamfukuze Mwambe lakini wanaogopa, na lazima amuondoe Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wapiga kura watakuwa nguruwe wa Lumumba sawa.CHADEMA wanatamani wamfukuze Mwambe lakini wanaogopa, na lazima amuondoe Mbowe
Acha unafiki we kibwengu wa LumumbaKusini kuchele!
huyu mleta Uzi anakurupuka sanaHapo anauzungumzia Uenyekiti wa Kanda ya Kusini. Sidhani kama inawezekana kwake kugombea Uenyekiti wa Kanda na wa Taifa.
Punguza kulazimisha mada za kitoto kama hizi. Uwe unafuatilia mambo na kuyajua kabla ya kukurupuka na kuanzisha mada humu.
Uione: johnthebaptist
wakili msomi chutama.Hapo anauzungumzia Uenyekiti wa Kanda ya Kusini. Sidhani kama inawezekana kwake kugombea Uenyekiti wa Kanda na wa Taifa.
Punguza kulazimisha mada za kitoto kama hizi. Uwe unafuatilia mambo na kuyajua kabla ya kukurupuka na kuanzisha mada humu.
Uione: johnthebaptist
chaguzi nyingi sana CHADEMA imeshindwa, huo ni udhaifu wa MboweUnadhani kungelikuwa na mwenyekiti mwingine figisu na wagombea kwenye serikali za mitaa wasingeenguliwa!?
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Ha haaSi afadhali sisi wa jalalani kuliko wewe tapeli wa mtaroni? Kutwa nzima ni kutuhamishia humu vihabari vyako vya kizushi. Acha hayo mambo yako binti. Jifunze kujenga hoja!
Wee Jo ni kigeugeu kinyonga kasingiziwa
Labda chama cha siasa cha akina Cheyo,Mrema,Dovutwa na washirika wake.CCM haina mpango wa kuruhusu chama kingine MADHUBUTI (kama CHADEMA) kishindane nacho.Na sasa kimeona tishio kubwa toka kwa CDM,chama ambacho Baba wa Taifa alishakiona kuwa mbadala wa CCM. Ndiyo maana ukaandaliwa huo mkakati wa KITOTO wa serikali za mitaa.Ukweli utabaki HIVYO,Mbowe na chama chake katika hali ya USAWA,uungwaji mkona toka kwa wananchi,AMEWAZIDI SANA MAARIFA.NASUBIRI KWA HAMU SANA KUSIKIA TOKA KWA KATIBU MKUU MSOMI WA CCM(Sijuwi yeye ana degree ngapi) AKIZUNGUMZIA UCHAGUZI HUU WA KITOTO.NASUBIRI.Mwambe anataka kuibadilisha Chadema kutoka kundi la wanaharakati kuwa chama cha siasa!
Tulia wewe! Dawa iwaingie
Unamaanisha si Mbunge wa Chadema!?Uyu pandikizi la chama kile
Katika ziara zake za mikoa ya Kusini JPM alisema Mwambe yuko Chadema kimwili lakini moyo wake uko CCM na akamalizia kuwa yeye alikwenda Chadema kwa kuwa huko CCM alifanyiwa figisu lakini bado ana mapenzi na chama hicho. Cecil Mwambe hajawahi kukanusha madai hayo ya JPM, sasa mtu kama huyu kumpa uenyekiti wa Taifa hii itakuwa ni political suicide. Apewe fomu kama kawaida 'tutakutana kwa debe'.Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.
Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.
Source Global tv
My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Hata Lowasa alisema hivyohivyoMwambe anataka kuibadilisha Chadema kutoka kundi la wanaharakati kuwa chama cha siasa!
Mardi mwingine wa CCM sawa na mwendo kasi.Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.
Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.
Source Global tv
My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Chama kinabadilishwa na wanachama siyo na mtu.Mwambe anataka kuibadilisha Chadema kutoka kundi la wanaharakati kuwa chama cha siasa!
Naona ghetto American english umeibadirisha na kuwa Ghetto Swahili!!
Kwani napenyewe itakua kama ule wa Serikali za Mitaa?maana kwa kujiamini huko.......au anasimamia mzee wangu Jecha?CHADEMA wanatamani wamfukuze Mwambe lakini wanaogopa, na lazima amuondoe Mbowe
Uenyekiti ni wa Mbowe huyo mama akagombee na kina Mdee,ccm toka imezaliwa haijawahi kuwa na Mwenyekiti mwanamkeAtamweza mbowe?
Hao wanachama ni nguruwe?!Chama kinabadilishwa na wanachama siyo na mtu.