Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Wanachadema hakuna haja ya kuwa na hofu. Kama Mbowe amefanya mambo makubwa na ya kutukuka na bado mnamuhitaji sana atawale na kuongoza milele dumu, just stay cool, acheni watu wachukue form na siku ya uchaguzi mkamchague Mbowe kwa ushindi wa kishindo. Hakuna haja ya kuanza vilio vya hofu mara huyu ‘pandikizi la chama kile’ au huyu hafai maana ‘hajawahi kulala selo’. Acheni kura ziamue.

Msiwe kama CCM wanaojigamba kufanya mambo makubwa sana ila wanahofia uchaguzi huru vibaya mnooo.
Mbowe safari hii kapata mpinzani wa kweli siyo wale magumashi anaowawekaga!
 
Chadema kuna PhD mojja tu ya Prof Jay!
Hizo zilizojaa huko za jalalani zina tija gani kwaTaifa?
FB_IMG_1573890013567.jpeg
 
Go Mwambe

Go Cecil

Wapenda Demokrasia nchini kote, bila kujali vyama, tupo nyuma yako
 
Mama Cecil uongozi ndani ya Chadema sio mchezo,Viongozi wote wako Mahakamani,wapo waliofungwa,sero ndio kila siku wewe utaweza?
Wako mahakamani kwa uhalifu waliotenda siyo wapigania uhuru wale!

Mwambe ataifanya Chadema kuwa chama cha siasa na siyo kikundi cha wanaharakati kinachotafuna ruzuku ya serikali!
 
Mama Cecil uongozi ndani ya Chadema sio mchezo,Viongozi wote wako Mahakamani,wapo waliofungwa,sero ndio kila siku wewe utaweza?


Akagombee vyama vingine..anafanya masihara huyu mama...akiwekwa ndani hata siku 2 si ataresign!?hiki cheo kinahitaj mtu konk master landa Mdee!
 
Jamani mimi ni Chadema mkereketwa, sio mwanachama, ila soon nachukua kadi.

Tutakuwa tunafanya kosa kama tutamshambulia Mwambe kugombea uenyekiti. Acha agombee, kura ziseme. Wapiga kura wanajua nani anawafaa. Lakini msizuie mtu kugombea maadam katiba inaruhusu.
 
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.

Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.

Source Global tv

My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Huyu sio pandikizi la ccm? Maana alitokea chama kile
 
Mbowe safari hii kapata mpinzani wa kweli siyo wale magumashi anaowawekaga!
Si wanachama wanasema ati wana imani na Mbowe? Hakuna haja ya kelele nyingi. Watulie tu na wakampigie kura huyo walio na imani nae na kura zitaongea. Numbers never lie. Hizi kelele za ‘huyu ni pandikizi la CCM’ ni utoto tu. Kama ni pandikizi so what? Just don’t vote for him!

Wakati wa uchaguzi wa urais wa TLS, CCM na vyombo vyake vilijaribu kupenyeza ‘mapandikizi’ but Lawyers hawakuwa wakilialia hovyo kama hawa wanachama wa CHADEMA. Walikwenda na kuwanyima kura hao mamluki. Walifanya hivyo kwa Tundu na kwa Fatuma vilevile
 
Back
Top Bottom