Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ameainisha sababu za Watanzania kumpa kura Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mbele ya mgombea mwenza wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika mkoani Arusha Septemba 12, 2025 Paresso amesema moja ya sababu hizo ni kuimarishwa kwa mahusiano baina ya Tanzania na nchi zingine jambo lililopelekea kuifungua nchi na kukaribisha fursa za kibiashara na Uwekezaji kutoka ndani na nje ya nchi.
"amejenga shule za wasichana kwa michepuo ya Sayansi shule 26 katika mikoa yote Tanzania Bara" amesema Paress