Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
pointi yako ni nini mkuu? mbona nyerere hakujenga?Rais Samia amejenga shule za wasichana kwa michepuo ya Sayansi shule 26 katika mikoa yote Tanzania Bara? Ametolea hizo pesa wapi? Je amejenga kwa pesa za watanzania kama hisani au wajibu wake? Je Rais Samia ana miradi ipi binafsi ya kumpa pesa kiasi cha kujenga shule?
Okay tuseme amejenga na ametoa pesa! Then deni la taifa kwanini lisiwe lake?pointi yako ni nini mkuu? mbona nyerere hakujenga?
kwani deni la taifa ni la kipindi chake pekee?Okay tuseme amejenga na ametoa pesa! Then deni la taifa kwanini lisiwe lake?
Nijibu hapo utaelewa point yangu
Point yake ni kuwa ni makosa kusema Samia kajenga shule kwa sababu hizo pesa zilizotumika SIYO pesa binafsi za Samia. Ni pesa zilizotokana na kodi zetu wananchi au mkopo ambao watanzania wote tutazilipa. Kwa kuwa Samia ni kiongozi ni sahihi kusema Serikali imejenga shule hizo badala ya kusema eti Samia kajenga utadhani katumia pesa zake binafsi.pointi yako ni nini mkuu? mbona nyerere hakujenga?
Sasa waziri wa elimu ana kazi ganiAliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ameainisha sababu za Watanzania kumpa kura Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mbele ya mgombea mwenza wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika mkoani Arusha Septemba 12, 2025 Paresso amesema moja ya sababu hizo ni kuimarishwa kwa mahusiano baina ya Tanzania na nchi zingine jambo lililopelekea kuifungua nchi na kukaribisha fursa za kibiashara na Uwekezaji kutoka ndani na nje ya nchi.
"amejenga shule za wasichana kwa michepuo ya Sayansi shule 26 katika mikoa yote Tanzania Bara" amesema Paress
Kwani maendeleo anayaleta peke yake? Kwamba Tanzania nzima ni serikali yake ndio imeleta maendeleo tokea tumepata uhuru?kwani deni la taifa ni la kipindi chake pekee?
Safi sana mkuu kwa maelezo haya! Wachache sana wanaelewaPoint yake ni kuwa ni makosa kusema Samia kajenga shule kwa sababu hizo pesa zilizotumika SIYO pesa binafsi za Samia. Ni pesa zilizotokana na kodi zetu wananchi au mkopo ambao watanzania wote tutazilipa. Kwa kuwa Samia ni kiongozi ni sahihi kusema Serikali imejenga shule hizo badala ya kusema eti Samia kajenga utadhani katumia pesa zake binafsi.
Serikali ya Tanzania chini ya Nyerere ilijenga shule nyingi na kufanya elimu hadi chuo Kikuu kuwa bure. Wewe umezaliwa lini? Inaonekana hufahamu chochote zaidi ya uchawa.Serikali ya Nyerere ilitumia fedha za mikopo na fedha za budget kujenga shule hizo na kutoa elimu na afya bure kwa sababu hakukuwa na tax base kubwa kipindi hicho. Huyu wa sasa anakusanya kodi zetu halafu anajilimbikizia sifa kwa kutumia fedha zetu.....Shame on her.pointi yako ni nini mkuu? mbona nyerere hakujenga?
ndio mkuu, hivi vitu anavyofanya ni yeye tu na wenzake ama hawakufanya au hawakuwezaKwani maendeleo anayaleta peke yake? Kwamba Tanzania nzima ni serikali yake ndio imeleta maendeleo tokea tumepata uhuru?
Ebu kunywa maji mengi na vuta hewa nyng halafu urudi kuandka upya.Serikali ya Tanzania chini ya Nyerere ilijenga shule nyingi na kufanya elimu hadi chuo Kikuu kuwa bure. Wewe umezaliwa lini? Inaonekana hufahamu chochote zaidi ya uchawa.Serikali ya Nyerere ilitumia fedha za mikopo na fedha za budget kujenga shule hizo na kutoa elimu na afya bure kwa sababu hakukuwa na tax base kubwa kipindi hicho. Huyu wa sasa anakusanya kodi zetu halafu anajilimbikizia sifa kwa kutumia fedha zetu.....Shame on her.
Ni zile za msaada kipindi cha UVIKIO-19Rais Samia amejenga shule za wasichana kwa michepuo ya Sayansi shule 26 katika mikoa yote Tanzania Bara? Ametolea hizo pesa wapi? Je amejenga kwa pesa za watanzania kama hisani au wajibu wake? Je Rais Samia ana miradi ipi binafsi ya kumpa pesa kiasi cha kujenga shule?