GE2025 Cecilia Paresso: Samia na Nchimbi kwa pamoja wanaenda kujenga taifa lenye umoja na mshikamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Cecilia Paresso ametoa wito kwa wananchi wa Rufiji kumpigia kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani viongozi hao watapochanguliwa watajenga taifa lenye mshikamano, umoja na maendeleo kwa wote.

Paresso ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa ameyasema hayo Oktoba 9, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Rufiji huku akiwahamasisha kupiga kura kwa usahihi ifikapo tarehe 29, oktoba 2025.

"viongozi wetu hawa kwa pamoja wanaenda kujenga taifa lenye umoja na mshikamano, wanaenda kufanya kazi kwa kuzingatia utu wa Watanzania lakini wanaenda kujenga taifa linaloenda kusonga mbele Kwa pamoja bila kumuacha mtu yoyote nyuma" amesema Paresso

Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom