CEFTRISONE-1000 haina madhara kwa mjamzito?

CEFTRISONE-1000 haina madhara kwa mjamzito?

nisile23

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
440
Reaction score
176
Habari madocta
Nimepewa hiyo dawa baada ya kugundulika nina PID.wakati wa vipimo iligundulika nina ujauzito pia.kuna ndugu yangu kaniambia wajawazito hawaruhusiwi kutumia hiyo sindano.je zina madhara kweli?msaada tafadhali maana nipo kwenye dozi bado.
Asanteni
 
Pitia trhead za nyuma,Matwin alitumia hiyo dawa na alishauriwa kwa mapana,kifupi hiyo dawa haina madhara
 
Pole dada na kuumwa. Matumizi ya ceftrixone hayana madhara makubwa kwa kiumbe aliyeko tumboni. Kwa ujumla faida utakazozipata jwa luyibiwa hup ugonjwa ni kubwa maradufu kiliko madhara kidogo sana kwa kiumbe. Endelea na matibabu
 
As

asante sana
 
Ceftriaxone haina shida kwa mama mjamzito ila kama utapata shida kipindi unatumia hizo dawa rudi hospitali haraka
 
Fanya vipimo kama ultrasound mimba zingine zinatunga nje ya kizazi afu doctor anasema p.i.d
 
UTI ndo rahisi kwa sababu ya unsafe techniques na huwa ni lower urinary
 
PID in pregnancy?Ni ngumu kidogo fanya uchunguzi zaidi.

Siku nyingine muulize Dr wako kuhusu madhara ya dawa aliyokupa.
 
Back
Top Bottom