AsantePole kwa ujauzito
Asante sanaPitia trhead za nyuma,Matwin alitumia huyo dawa na alishauriwa kwa mapana,kifupi hiyo dawa haina madhara
Ndio hiyo mkuuINAITWA CEFTRIAXONE
asante sanaPole dada na kuumwa. Matumizi ya ceftrixone hayana madhara makubwa kwa kiumbe aliyeko tumboni. Kwa ujumla faida utakazozipata jwa luyibiwa hup ugonjwa ni kubwa maradufu kiliko madhara kidogo sana kwa kiumbe. Endelea na matibabu
Pole ya nini,dah i wish.Pole kwa ujauzito
fanya mchakato sasa! tatizo nini.Pole ya nini,dah i wish.
Asante sanaCeftriaxone haina shida kwa mama mjamzito ila kama utapata shida kipindi unatumia hizo dawa rudi hospitali haraka
Ngumu sana kupata p.i.d ukiwa mjamzito
Kwanini ni ngumu kupata PID ukiwa mjamzito?