Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina 8ft bei ni 7500 kulingana na ulipoahaaa wanauza kwa mita au nini mkuu nisaidie kwa hilo
Unapiga zegesawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?
Zinaitwa PVC BOARDWakuu msaada zile sling board za plastic zinazowekwa kwenye fisher board kwa nje zinaitwaje?
sawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?
Hata terrazzo ni zege mkuu. Utofauti na zege la kawaida ni rangi na size kokoto huwa ni ndogo kwa terrazzo.zege banda linakuwa ni zito kishenzi, labda nafanya hivi naweka ule waya wa mashimo ya choo nauchomelea kwa chini ili kuweza kushika cement itakayowekwa kwa ajili ya vigae au terrazzo floor