Ceiling board za plastic zinaitwaje?

Ceiling board za plastic zinaitwaje?

kuxhinda

Senior Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
126
Reaction score
104
Wakuu msaada zile sling board za plastic zinazowekwa kwenye fisher board kwa nje zinaitwaje?
 
sawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?
Unapiga zege
 
Ina 8mt bei ni 7500 kulingana na ulipo
ahaaa shukrani sana chifu wangu, na sakafu ya terrazo inaweza ikakaa vizuri kwenye banda la biashara? ambalo kwa chini limechomelewa zile pleti za bati au vigae vinaweza kaa vizuri ?
 
Unapiga zege
zege banda linakuwa ni zito kishenzi, labda nafanya hivi naweka ule waya wa mashimo ya choo nauchomelea kwa chini ili kuweza kushika cement itakayowekwa kwa ajili ya vigae au terrazzo floor
 
sawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?

Tahadhari mkuu,kama unaenda kulisimika hilo banda sehemu siyo yake,acha,kuna viashiria safisha safisha ya miji itaanza muda si mrefu. Arusha na Dar wameshatangaza kuondoa hayo mabanda
 
zege banda linakuwa ni zito kishenzi, labda nafanya hivi naweka ule waya wa mashimo ya choo nauchomelea kwa chini ili kuweza kushika cement itakayowekwa kwa ajili ya vigae au terrazzo floor
Hata terrazzo ni zege mkuu. Utofauti na zege la kawaida ni rangi na size kokoto huwa ni ndogo kwa terrazzo.
 
Back
Top Bottom