Ni muda mchache kwa upendo wa Mungu nitatimiza miaka mitano nikiwa member mtiifu wa JamiiForums
Hakika nimejifunza mengi na kukutana na busara na changamoto kedekede.
Uzi huu uende mpaka January nikitimiza miaka 5 ndani ya familia hii tusiojuana lakini linapokuja suala la ushauri, vituko kejeli, ujuaji tupo pamoja sana. I am glad!
Sasa hebu niambie wewe member mwenzangu unatimiza miaka mingapi ndani ya JamiiForums?