Celebrities wa Bongo kuweni na wanasheria wa kushughulikia mambo yenu nyeti

Celebrities wa Bongo kuweni na wanasheria wa kushughulikia mambo yenu nyeti

In all fairness, hata wasanii wa majuu nao wana matatizo na si matatizo yao yote hushughulikiwa na wanasheria.

Ona mambo ya Kanye West hapa chini.

Last edited by a moderator:
alaa! kumbe!

form six alimaliza mwaka gani hivi?

kamalza form six bada ya kuwa miss na umaarufu hakurudi shule naskia alipelekwa hadi Malaysia hakutaka shule Jokate kaenda Udsm akajimalzia
 
In all fairness, hata wasanii wa majuu nao wana matatizo na si matatizo yao yote hushughulikiwa na wanasheria.

Ona mambo ya Kanye West hapa chini.

mkuu ni kweli hawa watu hawaishiwi vitimbwi..

lakini swala la msingi hapa ni kwamba, kuna umuhimu wa kuwa na wanasheria kwa ajili ya kushughulikia masuala yao yawe yale nyeti ama mengineyo pia...

kwa alicho fanya KW hapo LA airport, kama ingefikia incident ya kwenda jela, unadhani nani angesimamia kesi yake??

tufanye kwamba ana uwezo wa kununua mwana sheria yeyote temporarily, je kwa wasanii wa bongo wanaweza kufanya hivyo kama walivyo wa majuu?
 
Last edited by a moderator:
kamalza form six bada ya kuwa miss na umaarufu hakurudi shule naskia alipelekwa hadi Malaysia hakutaka shule Jokate kaenda Udsm akajimalzia

hmm! matokeo yake sasa nayaona.. kwani alisoma nini A level mkuu?

mwaka gani hiyo ilikuwa?
 
tatizo la wasanii wengi wenyewe huwa wanapenda kuandkwa na magazeti ya shingongo kwa kupeleka habari Wema mwenyewe alikuwa anapenda kuandkwa sa iv nashangaa kpind wana mwandka kwa kununua nyumba million 400 mbona alikuwa haongei kpind kile mamake kawatukana na kuwatishia mbona alienda kuwaomba mwenyewe msamaha wawe wana mwandka

hahahahaaa!!! mkuu nahisi shigongo amewashika pabaya sana celebrities wa bongo..! na akiamua kuwabania pia anawabania...
 
katapeliwa na nani tena mkuu??

ile video nimeiona vizuri sana alipofanya fujo GPL, na huyo anaejiita mlinzi wake yuko nyuma na rasta zake tu hafanyi chochote.. sijui kazi yake hasa ni nini??

Petit kazi yake kubeba pochi na simu za wema
 
mkuu unadhani kwa habari kama ile kama ingepata mtu wa kuisimamia haswa, GPL wangeshinda??

mkuu nimeamini kweli wema ni kichaa, hata siku moja hatopata nafasi ya kuigiza na omotola J.

mie sio mtaalamu wa maswala ya sheria,,ila kwa ujuzi wangu mdogo ukitoa habari ya kumdhalilisha mtu isiyo na ukweli kama hapo kumuita msagaji unaweza kuwashitaki na ukadai fidia kwa kudhalilishwa...ni kupata mwanasheria mzuri tu.

kuhusu Wema ni chizi yule alikuwa anatafuta picha za kipindi chake kinachosuasua...wala hajaumizwa na chochote.
 
Mkuu Wema hana muda wa kudai fidia maana ana nufaika na hizo habari na zinamfanya maisha yaende.
Wema haihitaji Mwanasheria bali daktari wa Magonjwa ya akili.

Ndio mkuu,nakubaliana na wewe....we mtu kabeba cameraman kabisa ili kuchukua picha za kurusha kwwnye kipindi chake...anachotaka ni watu waseme "wema haishiwi vituko" iyo kwake inatosha sana.
 
mkuu ni kweli hawa watu hawaishiwi vitimbwi..

lakini swala la msingi hapa ni kwamba, kuna umuhimu wa kuwa na wanasheria kwa ajili ya kushughulikia masuala yao yawe yale nyeti ama mengineyo pia...

kwa alicho fanya KW hapo LA airport, kama ingefikia incident ya kwenda jela, unadhani nani angesimamia kesi yake??

tufanye kwamba ana uwezo wa kununua mwana sheria yeyote temporarily, je kwa wasanii wa bongo wanaweza kufanya hivyo kama walivyo wa majuu?

wapo wasanii makini wanaotumia wanasheria...mfano ni Sugu wakati anafanya deal yake ya malaria alikuwa na mwanasheria wake dingi flani ivi,,japo yule lawyer alimkimbia baada ya kuona mkono wa ikulu....so naamini wapo wanaotumia japo sijawai kushuudia kwa wengine.
 
mkuu ni kweli hawa watu hawaishiwi vitimbwi..

lakini swala la msingi hapa ni kwamba, kuna umuhimu wa kuwa na wanasheria kwa ajili ya kushughulikia masuala yao yawe yale nyeti ama mengineyo pia...

kwa alicho fanya KW hapo LA airport, kama ingefikia incident ya kwenda jela, unadhani nani angesimamia kesi yake??

tufanye kwamba ana uwezo wa kununua mwana sheria yeyote temporarily, je kwa wasanii wa bongo wanaweza kufanya hivyo kama walivyo wa majuu?

Sioni sababu yoyote ya kupoteza hela kuwa na mwanasheria wa kushughulikia mambo madogo madogo kama kukasirishwa na kuandikwa kwenye magazeti pendwa.

La msingi zaidi ni kujijua wewe ni mtu gani na kwamba kuna baadhi ya mambo huja na kwenda na maeneo yake. Wema si private person tena, ni public figure.

Sasa kwa hiyo status yake kwenye jamii bila ya kuwa na ngozi nene utakuwa unakereka kila uchwao. Badala ya kupoteza hela kwa mwanasheria (hususan kwenye mambo ambayo wala hahitaji mwanasheria), atafute tu mshauri mzuri mwenye uelewa mzuri kuhusu mambo ya kidunia.

Wanasheria watamlia tu hela zake pasipo hata na sababu yoyote ile ya lazima. Hata hivyo sidhani kama hayo magazeti yanatunga mambo ya uongo kabisa. Yanaandika mambo ya ukweli ila kwa lugha iliyotiwa chumvi na kila aina ya madoido ili kuvutia wasomaji.

Lakini kusema kwamba yanazua tu uongo, hilo sikubaliani nalo.
 
hahahahaaa!!! mkuu nahisi shigongo amewashika pabaya sana celebrities wa bongo..! na akiamua kuwabania pia anawabania...

nakawashka vibaya wanampigiaga hadi goti waandkwe unafikiri asipo waandka wataishje hapa mjini uwoya kafulia kisa aligombana na gpl watu wameanza kumsahau sa iv
 
wakuu, nimekuja na neno hili baada ya kushuhudia wema Sepetu alivyofanya fujo na kujidhalilisha ndani ya Ofisi za GPL..

kwa kweli kwa jambo kama lile, sidhani kama wema sepetu alistahili kwenda yeye kama yeye kama kweli aliona ameonewa na uongozi wa Global Publishers Limited..

huu ni wakati sasa wa wasanii wetu kuiga mifano kwa wasanii wakubwa wa nje kama Chriss Brown, J-z ama msanii yeyote yule, wasanii wetu wanatakiwa kuwa na wanasheria wa kushughulikia mambo yao nyeti kama dai la Wema sepetu kama kweli aliona ameonewa..

hebu tujiulizeni wakuu,

--hivi ilikuwa ni sahihi kwa wema sepetu kwenda ofisi za GPL na kufanya fujo na kujiita kichaa?
--kwa picha alioinesha wema mpaka kuvua viatu na kupigana na uongozi ndani mle, je ile imemjenga ama imembomoa?

nimebaki najiuliza sana kwanini wema sepetu hakuchukua hatua za kufungua mashtaka mahakamani badala yake akaenda mwenyewe kufanya fujo???

nadhani sasa wasanii wetu wafikie kipindi cha kumiliki wanasheria wao binafsi, wema angeweza kulipwa kwa madai yake endapo angepata mtu wa kumsimami kisheria....

attachment.php

kwa incident ile, kampuni nzima na uongozi wa GPL una haki ya kumshtaki wema sepetu kwa kuwafanyia fujo na kuwazalilisha kwa mameno machafu...

celebrities wetu jamani jipangeni kwenye mambo yenu, tafuteni wanasheria wa kusimamia mambo yenu kiujumla..
Ni kweli kabisa,kuna wakati nilisoma Wema akisema yeye ameshazoea kuandikwa, kumbe kibinadamu amekuwa anayaweka mengi moyoni na sasa yamelipuka. Naunga mkono na hivi sasa hivi bebi wake pia ni msanii mwenzie wanaweza wakawa na mwanasheria mmoja kupunguza gharama!
 
mkuu, wazo la kuwa na mwana sheria ni zuri na endapo watalichukulia serious, basi mambo yao mengi yataenda vyema...

wema anamiliki kampuni ya filamu, diamond ni mwanamuziki maarufu mwenye shughuli nyingi zinahitaji sheria..
 
Back
Top Bottom