kishoka wa kichagga
Member
- Mar 21, 2014
- 18
- 3
hajafka umaarufu ulimponza bichwa
alaa! kumbe!
form six alimaliza mwaka gani hivi?
In all fairness, hata wasanii wa majuu nao wana matatizo na si matatizo yao yote hushughulikiwa na wanasheria.
Ona mambo ya Kanye West hapa chini.
Na jana tu katapeliwa pesaa na petiti man wakuacheee hana hata wazo la mwanasheriaaa
Nani ana namba za wema ni mvutie waya?
kamalza form six bada ya kuwa miss na umaarufu hakurudi shule naskia alipelekwa hadi Malaysia hakutaka shule Jokate kaenda Udsm akajimalzia
tatizo la wasanii wengi wenyewe huwa wanapenda kuandkwa na magazeti ya shingongo kwa kupeleka habari Wema mwenyewe alikuwa anapenda kuandkwa sa iv nashangaa kpind wana mwandka kwa kununua nyumba million 400 mbona alikuwa haongei kpind kile mamake kawatukana na kuwatishia mbona alienda kuwaomba mwenyewe msamaha wawe wana mwandka
katapeliwa na nani tena mkuu??
ile video nimeiona vizuri sana alipofanya fujo GPL, na huyo anaejiita mlinzi wake yuko nyuma na rasta zake tu hafanyi chochote.. sijui kazi yake hasa ni nini??
mkuu unadhani kwa habari kama ile kama ingepata mtu wa kuisimamia haswa, GPL wangeshinda??
mkuu nimeamini kweli wema ni kichaa, hata siku moja hatopata nafasi ya kuigiza na omotola J.
Mkuu Wema hana muda wa kudai fidia maana ana nufaika na hizo habari na zinamfanya maisha yaende.
Wema haihitaji Mwanasheria bali daktari wa Magonjwa ya akili.
mkuu ni kweli hawa watu hawaishiwi vitimbwi..
lakini swala la msingi hapa ni kwamba, kuna umuhimu wa kuwa na wanasheria kwa ajili ya kushughulikia masuala yao yawe yale nyeti ama mengineyo pia...
kwa alicho fanya KW hapo LA airport, kama ingefikia incident ya kwenda jela, unadhani nani angesimamia kesi yake??
tufanye kwamba ana uwezo wa kununua mwana sheria yeyote temporarily, je kwa wasanii wa bongo wanaweza kufanya hivyo kama walivyo wa majuu?
mkuu ni kweli hawa watu hawaishiwi vitimbwi..
lakini swala la msingi hapa ni kwamba, kuna umuhimu wa kuwa na wanasheria kwa ajili ya kushughulikia masuala yao yawe yale nyeti ama mengineyo pia...
kwa alicho fanya KW hapo LA airport, kama ingefikia incident ya kwenda jela, unadhani nani angesimamia kesi yake??
tufanye kwamba ana uwezo wa kununua mwana sheria yeyote temporarily, je kwa wasanii wa bongo wanaweza kufanya hivyo kama walivyo wa majuu?
Petit kazi yake kubeba pochi na simu za wema
hahahahaaa!!! mkuu nahisi shigongo amewashika pabaya sana celebrities wa bongo..! na akiamua kuwabania pia anawabania...
Ni kweli kabisa,kuna wakati nilisoma Wema akisema yeye ameshazoea kuandikwa, kumbe kibinadamu amekuwa anayaweka mengi moyoni na sasa yamelipuka. Naunga mkono na hivi sasa hivi bebi wake pia ni msanii mwenzie wanaweza wakawa na mwanasheria mmoja kupunguza gharama!wakuu, nimekuja na neno hili baada ya kushuhudia wema Sepetu alivyofanya fujo na kujidhalilisha ndani ya Ofisi za GPL..
kwa kweli kwa jambo kama lile, sidhani kama wema sepetu alistahili kwenda yeye kama yeye kama kweli aliona ameonewa na uongozi wa Global Publishers Limited..
huu ni wakati sasa wa wasanii wetu kuiga mifano kwa wasanii wakubwa wa nje kama Chriss Brown, J-z ama msanii yeyote yule, wasanii wetu wanatakiwa kuwa na wanasheria wa kushughulikia mambo yao nyeti kama dai la Wema sepetu kama kweli aliona ameonewa..
hebu tujiulizeni wakuu,
--hivi ilikuwa ni sahihi kwa wema sepetu kwenda ofisi za GPL na kufanya fujo na kujiita kichaa?
--kwa picha alioinesha wema mpaka kuvua viatu na kupigana na uongozi ndani mle, je ile imemjenga ama imembomoa?
nimebaki najiuliza sana kwanini wema sepetu hakuchukua hatua za kufungua mashtaka mahakamani badala yake akaenda mwenyewe kufanya fujo???
nadhani sasa wasanii wetu wafikie kipindi cha kumiliki wanasheria wao binafsi, wema angeweza kulipwa kwa madai yake endapo angepata mtu wa kumsimami kisheria....
kwa incident ile, kampuni nzima na uongozi wa GPL una haki ya kumshtaki wema sepetu kwa kuwafanyia fujo na kuwazalilisha kwa mameno machafu...
celebrities wetu jamani jipangeni kwenye mambo yenu, tafuteni wanasheria wa kusimamia mambo yenu kiujumla..
Ni kweli kabisa,kuna wakati nilisoma Wema akisema yeye ameshazoea kuandikwa, kumbe kibinadamu amekuwa anayaweka mengi moyoni na sasa yamelipuka. Naunga mkono na hivi sasa hivi bebi wake pia ni msanii mwenzie wanaweza wakawa na mwanasheria mmoja kupunguza gharama!