Ni kweli kabisa
Dah....miss you guys already!
Wametufungia uzi,ila mod kafanya vizuri kafunga special zote bila upendeleo
Sijui tufanyeje jamani!Sina raha kabisa yani
Ningempata mmoja wao ningemkata kilimi limi
Sina hakika labda tufungue tuHaha haaaa,hivi tukifungua nyingine wataifunga pia?
Sina hakika labda tufungue tu
Basi ngoja tujipange tujue itakuwaje,siwezi kabisa kuikosa ile familia yetu.
Yeah na atoto kaimiss familia mpka mafua yamempata
Hahahaaaa,sio yeye tu ni wote....
Yote aya n kile kioo tu
Ule ujinga wa jana wa kuleta home affairs JF ndio uliosababisha yote haya...
Umeona eeh?niliwahi kusema akitoa video ata break JF na ndicho hasa kilichotokea jana.
Kiba noma sana,watu wamechanganyikiwa vibaya sana.
Huo ushabiki wa kuwagawa Wasanii ndio umeharibu. Wote ni Wasanii wetu, kwa nini watugawe?