Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Ni mawazo yangu, Imefika wakati ma celebrities wetu wapewe ushuru na wamiliki wa magazeti ya udaku kwani ndo wanaowaweka mjini. Ili gazeti liuze lazima heading ibebwe na jina la celebrity. Wanastahili kulipwa percentage fulani kwani wamewafikisha hapo mlipo. Nawasilisha!