Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:

1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii

2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...

3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhari a
 
Uko vizuri Mkuu Zari anajitambua sana tu pamoja na majaribu mengi ya kuwa mke wa DP lakini kasimama kidete kuhakikisha mapenzi ndani ya ndoa yao yanaendelea kuwepo badala ya kuendekeza ujinga ujinga wa kuwa na huyu, yule na yule kila baada ya muda mfupi. Yuko stable ndani ya ndoa yao na hivyo makampuni yanakuwa na imani naye, "we can count on this lady"

 
Aisee Mr.@BAK: Hilo pia ni bonge moja la point aisee....kutulia katika ndoa despite ya majaribu mengi mengi ayapitiayo...give her CREDITS to shine in diamond country..

Mimi binafsi instagram kule ni msanii pekee wa kike aliyepo bongo niliyemfollow the rest nakuwaga sina imani nao..unaweza ingia ukakutama mapicha yao ya nguo za ajabu ajabu!!
 
Mimi pia huyu pekee ndiye ninamfollow Mkuu wengineo wote sina muda nao.

 
Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii
sijui hizo mimi sijawahi ziona, ila ambazo huwa naziona ni zile akiwa bitch na sehemu nyingine!
Sidhani kama ana video kama zile za wema na calisah na nyingine!
 
Hawa wa kwetu wamekosa kuingia leba tofaut tofaut Africa.
 
Hili tangazo wangempa my baby Shishi Trump angeua mbaya kuliko huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…