BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Juzi Mkuu ndiyo wanataka kuelekea kwenye asalimwezi.
🙂🙂🙂
🙂🙂🙂
Kafunga lini ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafunga lini ndoa?
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa Pugu mall kutimiza majukumu take
View attachment 471982
Cha kujiuliza Bongo tuna celebrities wa kike kibao kuanzia Wema sepetu mwenye wafuasi kibao, jokate, Kajala, Shilole, Wolper, Uwoya, Vanessa mdee, na wengine kibao, Hawa nawakosa mini kupata madeal ya maana kama haya? MTU katoka Uganda kapata deal
Tatizo ni mini hapa?
Wamekosa watoto watano
Period
Ni tatizo kuliko kubwa sana kwa wasichana wakibongo.[emoji15] [emoji15] leba tens hivi kuzaa in tatizo kumbe
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa Pugu mall kutimiza majukumu take
View attachment 471982
Cha kujiuliza Bongo tuna celebrities wa kike kibao kuanzia Wema sepetu mwenye wafuasi kibao, jokate, Kajala, Shilole, Wolper, Uwoya, Vanessa mdee, na wengine kibao, Hawa nawakosa mini kupata madeal ya maana kama haya? MTU katoka Uganda kapata deal
Tatizo ni mini hapa?
Basi anacho cha pekee zaidi mpaka makampuni bado yanamuelewa!Kwani zari hana picha au video akiwa uchi anajipiga puchu?sisi tuna tabia ya kushobokea wageni
Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:
1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii
2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...
3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
Lipi hloHongera zake huyo mama anajituma sana kwenye kutafuta mpunga sema lile video lake la kujichokonoa kule XVIDEOS lina mshushia sana heshima.
Yako wap hayoHahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Wema kasoma Malaysia mkuu , hata English yuko vizuri
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 blockenKusoma Malaysia sio kujua kingereza, anaongea broken kwa sana tu basi wabongo sababu lugha hawaijui hawashtuki
fanya kuni2mia kkHongera zake huyo mama anajituma sana kwenye kutafuta mpunga sema lile video lake la kujichokonoa kule XVIDEOS lina mshushia sana heshima.
We umeuliza "Tatizo" au "Utofauti"...?[emoji15] [emoji15] leba tens hivi kuzaa in tatizo kumbe
Na watoto wake wa 5 nitamchagua Zari kwa akina Wema wasio na watoto!Jana nilimuona Wolper mahali ana kitambi!
Mtoto wa kike anapiga mchemsho na ndizi mshale 5 asubuhi,mchana pale samaki samaki anapiga ugali mkubwa na kuku na jioni ubwabwa nazi na samaki wa mchuzi!
Zari anajipenda sana na anapiga mpunga mrefu kuliko hawa wasio na watoto lkn kama wamezaa