Kama sikosei alishawahi kuwa miss Mwanza miaka ya nyuma au labda Kama amechanganyika
Mkuu Kumbe anaitwa Gwantwa.....jina kama mzizi ndio maana kabadiliMmmh hilo la Aunt anakitumia toka kwenye umiss itakuwa ni jina lake la ukweli ukweli bhana maneno ya watu c unayajua mkuu ?
Asante kwa maelezoAunt Ezekiel ni Mnyakyusa wa Mbeya, ni kweli alishawahi kushiriki miss Mwanza(kipindi hicho alikuwa akiishi Mwanza).
Hahahaaa Gwantwa duuh jina chungu hiloMkuu Kumbe anaitwa Gwantwa.....jina kama mzizi ndio maana kabadili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa Gwantwa duuh jina chungu hilo
hivi kwani ni lazima uchokoze mtu ndio siku yako iende murua!?Nilisikia sehemu kuwa Mbonie Masimba aliwahi kuwa miss Mbeya wenye kumfahamu Mbonie.?
Kwao Daaaaar... Madada weng wanavopenda kusema wanatoka Darhivi masogange sio wa Morogoro ?
Nilisikia sehemu kuwa Mbonie Masimba aliwahi kuwa miss Mbeya wenye kumfahamu Mbonie.?
Wakike pia?Sugu na Raymond wa WCB
Mkuu sio uchokozi nilitaka kujuzwahivi kwani ni lazima uchokoze mtu ndio siku yako iende murua!?
Mgendi hili jina ni kama la watu wa mkoa wa Singida hivi.Kama sio mnyiramba basi ni mnyaturu.Maana ya mgendi ni mtembezi kwa tafsiri ya kiswahili-Kinyiramba.Aisee,nilikuwa sijui hilo.Maana nakumbuka nilipokuwa Kyela nilikuwa nazisikia nyimbo zake zinapigwa sana mitaani na hata redio za Malawi. Lakini nimeingia hapa sijaona kama yeye ni wa wapi.JENNIFER MGENDI OFFICIAL WEBSITE
Unaweza ukawa mngoni na ukawania Miss Tanga.Huwa hakuna katazo la ukabila Miss Tanzania mkuu.Kama sikosei alishawahi kuwa miss Mwanza miaka ya nyuma au labda Kama amechanganyika
Aah kumbe , Asante kwa kinijuza mkuuUnaweza ukawa mngoni na ukawania Miss Tanga.Huwa hakuna katazo la ukabila Miss Tanzania mkuu.
Gwantwa ni neno la kinyakyusa lenye maana ya "Wa Mungu " sasa unaposema kuwa jina kama mzizi nakushangaaMkuu Kumbe anaitwa Gwantwa.....jina kama mzizi ndio maana kabadili
Sasa kama jina ni kama mzizi tusisemeGwantwa ni neno la kinyakyusa lenye maana ya "Wa Mungu " sasa unaposema kuwa jina kama mzizi nakushangaa
Daar yaani Dareda misionKwao Daaaaar... Madada weng wanavopenda kusema wanatoka Dar
Mboni Masimba Mzigua yule sio mtu wa Mbeyambonie masimba