Celebrities wa kike toka Mbeya

Celebrities wa kike toka Mbeya

Nilisikia sehemu kuwa Mbonie Masimba aliwahi kuwa miss Mbeya wenye kumfahamu Mbonie.?
 
Aisee,nilikuwa sijui hilo.Maana nakumbuka nilipokuwa Kyela nilikuwa nazisikia nyimbo zake zinapigwa sana mitaani na hata redio za Malawi. Lakini nimeingia hapa sijaona kama yeye ni wa wapi.JENNIFER MGENDI OFFICIAL WEBSITE
Mgendi hili jina ni kama la watu wa mkoa wa Singida hivi.Kama sio mnyiramba basi ni mnyaturu.Maana ya mgendi ni mtembezi kwa tafsiri ya kiswahili-Kinyiramba.
 
Back
Top Bottom