afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
shaa na mimi mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni wa Kanda ya ziwa mkuu.Jenifer Mgendi.
Aisee,nilikuwa sijui hilo.Maana nakumbuka nilipokuwa Kyela nilikuwa nazisikia nyimbo zake zinapigwa sana mitaani na hata redio za Malawi. Lakini nimeingia hapa sijaona kama yeye ni wa wapi.JENNIFER MGENDI OFFICIAL WEBSITEHuyo ni wa Kanda ya ziwa mkuu.
Nami nilijua shaa kujishaua kwake kumbeney lee,shaa
Aunt wa kanda ya ziwa bhana MwanzaAunt ezekiel
Mkuu unamjua jina lake anaitwa nan????au una jaribuAunt wa kanda ya ziwa bhana Mwanza
Kama sikosei alishawahi kuwa miss Mwanza miaka ya nyuma au labda Kama amechanganyikaMkuu unamjua jina lake anaitwa nan????au una jaribu
Labda hvyo......maana nasikia ana jina moja baya la kinyaki ndio maana kajibadili nakujiita auntKama sikosei alishawahi kuwa miss Mwanza miaka ya nyuma au labda Kama amechanganyika
Mmmh hilo la Aunt anakitumia toka kwenye umiss itakuwa ni jina lake la ukweli ukweli bhana maneno ya watu c unayajua mkuu ?Labda hvyo......maana nasikia ana jina moja baya la kinyaki ndio maana kajibadili nakujiita aunt
Labda hvyo......maana nasikia ana jina moja baya la kinyaki ndio maana kajibadili nakujiita aunt
Aunty Ezekiel , Agness masogange, Shaa, amber Lulu, Gigy mahela
Tangambonie masimba
Jenifer Mgendi.