Celebrities wa kike toka Mbeya

Celebrities wa kike toka Mbeya

Mgendi hili jina ni kama la watu wa mkoa wa Singida hivi.Kama sio mnyiramba basi ni mnyaturu.Maana ya mgendi ni mtembezi kwa tafsiri ya kiswahili-Kinyiramba.
Hata Watu wa mara wanatumia Hilo jina
 
Kama sikosei alishawahi kuwa miss Mwanza miaka ya nyuma au labda Kama amechanganyika
Kuwa miss unagombea popote tuuu! yeye mnyakyusa pure wa mbeya anaitwa Gwantwa sema wazazi wake ni marehem hvyo mby haendi endi sana!
 
Shaa wa kyela kata ya ngonga na kijiji cha ngonga kwa mkuu wa majeshi Mwamunyange
 
Back
Top Bottom