Celebrities wa Tanzania hawaoni fursa kwenye kuanzisha Viwanda nchini?

Celebrities wa Tanzania hawaoni fursa kwenye kuanzisha Viwanda nchini?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.

(KI)HOJA: kutokana na ukwasi (Utajiri) walionao si busara kuwekeza katika katika kuanzisha viwanda hapa hapa nchini?Kuliko kuficha Mabilioni kwenye akaunti za huko Uswisi?
cc. ONTARIO
 
mkuu katika hao ukiowataja hapo kuna msanii tajiri au ndio mpo mikoani mmezoea kupewa chai.nakila chai mnaamini kuwa nikweli

huu uzi wako wakija wanaowajua hao watu in and out utatamani kuufuta ..maana nadhani hujui kuwa hao wananjaa mwanzo mwisho zile wanazofanya ni show off tu..kwahiyo wema .shilole nimatajiri duuhh

maybe useme diamond alikiba AY na jide
 
Hongera Uwoya kwa kuanzisha baa maarufu pale sinza karibu na wanyama hotel, huo ni mwanzo mzuri kuelekea Nchi ya Viwanda. Hata ile MERCEDES BENZ yako imesimama kiukweli.
 
1. Sepenga Steel Industries,
2. Uchebe Motors International,
3. Iyobo Aeronautical Industries,
4.Janjaroo Pharmaceuticals Industries,
5. Wastara Textile Mills,
6. JB Global Marine.
7. Kajala Heavy Equipments Inc.
8. Shilole Intercontinental Group of Companies.
 
Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.

(KI)HOJA: kutokana na ukwasi (Utajiri) walionao si busara kuwekeza katika katika kuanzisha viwanda hapa hapa nchini?Kuliko kuficha Mabilioni kwenye akaunti za huko Uswisi?
cc. ONTARIO
Ni wazo zuri lakini naona hawajachelewa, Diamond tayari ana TV station, Shilole ana mgahawa, Wolper anajishughulisha na mitindo na utengenezaji wa mavazi, Masanja yuko na shamba la mpunga, au ulikuwa una maanisha manufacturing industry?
 
Mega Industries kama viwanda vya Kutengeneza Meli na midege eg. Uwoyya Aeronatics Engineering
 
Sio wasanii tu, japo wengi sio intellectuals na wamekosa mentors , hata sisi wengine wenye vipato kadhaa vya kiuchumi tumeshindwa kuwekeza kwenye manufacturing industries na teknolojia?? matokeo yake tunasubiri wawekezaji kutoka nje nA IMPORTS.
 
Back
Top Bottom