Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa Celebrity wengi sana Elimu zao ni kanjanja !! Hata wakianzisha viwanda vitakuwa vya juice kama mak juice ndo maaana wengi ni Mama ntilie
GadnaJide Wines & Spirit InterContinental GroupMwana FA si kaanzisha kiwanda cha Kutengeneza Perfume(Unyunyu)? Jay Dee si alitaka kufungua kiwanda cha maji wakamfanyia FIGISU?
Acha ushamba we kiazi , ukwasi upi walionao hao madanga na wakata viuno ?Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.
(KI)HOJA: kutokana na ukwasi (Utajiri) walionao si busara kuwekeza katika katika kuanzisha viwanda hapa hapa nchini?Kuliko kuficha Mabilioni kwenye akaunti za huko Uswisi?
cc. ONTARIO
Acha wivu bibieAcha ushamba we kiazi , ukwasi upi walionao hao madanga na wakata viuno ?
We unaumwa , mi niwaonee wivu upi madanga na wakata viunoAcha wivu bibie
Kiwanda cha Baa ilikufa mapema asubuhiHongera Uwoya kwa kuanzisha baa maarufu pale sinza karibu na wanyama hotel, huo ni mwanzo mzuri kuelekea Nchi ya Viwanda. Hata ile MERCEDES BENZ yako imesimama kiukweli.
Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.[emoji23] hawa wana mabilion wameficha uswisi? Kwanini sasa wafiche?Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.
(KI)HOJA: kutokana na ukwasi (Utajiri) walionao si busara kuwekeza katika katika kuanzisha viwanda hapa hapa nchini?Kuliko kuficha Mabilioni kwenye akaunti za huko Uswisi?
cc. ONTARIO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.
(KI)HOJA: kutokana na ukwasi (Utajiri) walionao si busara kuwekeza katika katika kuanzisha viwanda hapa hapa nchini?Kuliko kuficha Mabilioni kwenye akaunti za huko Uswisi?
cc. ONTARIO
[emoji2936][emoji2935]1. Sepenga Steel Industries,
2. Uchebe Motors International,
3. Iyobo Aeronautical Industries,
4.Janjaroo Pharmaceuticals Industries,
5. Wastara Textile Mills,
6. JB Global Marine.
7. Kajala Heavy Equipments Inc.
8. Shilole Intercontinental Group of Companies.