Sidhani kama mtoa mada amefanya utafiti wa kutosha kuhusu hali za kiuchumi za hao aliowataja.Katika hao uliowataja, yupi ana nyumba anakaa aliojenga kwa pesa yake.
Kama anayo hebu tupe value ya hiyo nyumba.
Ni wazo zuri lakini naona hawajachelewa, Diamond tayari ana TV station, Shilole ana mgahawa, Wolper anajishughulisha na mitindo na utengenezaji wa mavazi, Masanja yuko na shamba la mpunga, au ulikuwa una maanisha manufacturing industry?Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii Nguli si barani tu bali duniani kwa ujumla, kwa mfano, Shilole+UCHEBE, Wema Sepenga, Wolper, Aunt Ezekiel+Moses Iyobo, Steve Nyerere, Single Mtambalike, JB.
(KI)HOJA: kutokana na ukwasi (Utajiri) walionao si busara kuwekeza katika katika kuanzisha viwanda hapa hapa nchini?Kuliko kuficha Mabilioni kwenye akaunti za huko Uswisi?
cc. ONTARIO
Mega Industries kama viwanda vya Kutengeneza Meli na midege eg. Uwoyya Aeronatics EngineeringNi wazo zuri lakini naona hawajachelewa, Diamond tayari ana TV station, Shilole ana mgahawa, Wolper anajishughulisha na mitindo na utengenezaji wa mavazi, Masanja yuko na shamba la mpunga, au ulikuwa una maanisha manufacturing industry?