Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Celebrities kote nchini mmepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.

Tafadhali saidieni jamii ambayo ni sehemu ya mashabiki wenu.

Mmeshindwa hata kutoa Sanitizers, sabuni au ndoo za maji?
 
Hununui albums, hauangalii Bongo Movie, piracy ndio jadi yako..., unadhani hao celebrities watapata wapi pesa zaidi ya umaarufu ?, nadhani kutoa kazi zao tu na wewe kuzisikiliza ukiwa umejifungia ndani (social distance) ni mchango tosha..
 
Celebrities wa bongo wana utajiri wa kwenye insta na facebook tu ila kiuhalisia wanapumulia mashine....Yaani wanashindwa kununua hata "MAX" 50 au "SANTAIZA" kopo 20 na kugawia madereva wa daladala?
 
Basi angalau hata wachange kama jamii ya wasanii waanzishe mfuko maalumu ili wasaidie jamii ktk kipindi hiki wauite hata Bongo stars charity Fund...wajichange change hela kwa pamoja kwa umoja wao watoe kama jamii mmoja mmoja wataumia maana tunajua wazi hawana hela..wàmchagur hata Majizoo and then tofaut zote kwenye industry kuanzia bongo movies,bongo fleva,singeli,wacheza ngoma n.k wawe kitu kimoja hakika jamii itawakumbuka sana Bahati mbaya sidhan kama hilo wazo watalifanyia kazi
 
Sizani Hilo Jambo litatokea wanapenda Sana ukijiorganize kwenye starehe Mara nyingi
 
Basi angalau hata wachange kama jamii ya wasanii waanzishe mfuko maalumu ili wasaidie jamii ktk kipindi hiki wauite hata Bongo stars charity Fund...wajichange change hela kwa pamoja kwa umoja wao watoe kama jamii mmoja mmoja wataumia maana tunajua wazi hawana hela..wàmchagur hata Majizoo and then tofaut zote kwenye industry kuanzia bongo movies,bongo fleva,singeli,wacheza ngoma n.k wawe kitu kimoja hakika jamii itawakumbuka sana Bahati mbaya sidhan kama hilo wazo watalifanyia kazi
Steve awe mhazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Celebrities wa bongo wana utajiri wa kwenye insta na facebook tu ila kiuhalisia wanapumulia mashine....Yaani wanashindwa kununua hata "MAX" 50 au "SANTAIZA" kopo 20 na kugawia madereva wa daladala?
Kazi zao mnazipata kimagendo halafu mnategemea wawe na hela. Hela wanazitoa wapi ?

My life is mine to remember
 
Back
Top Bottom