Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Mleta mada changia na wewe tuone. Kabla ya kutoa msaada lazima uiombee hiyo sadaka. Naona watu wanatoa pesa tu. Je zitawafikia walengwa. Nibora kununua machupa ya spirit na manguo yakuvaa wahudumu wa corona ndio uwape awamu ya tano ila pesa?
 
Wewe umetoa kwa uwezo wako? Usimpangie mtu jinsi ya kutumia pesa yake. Plus wameshatoa michango mingi tu.
 
hapa ina maana unataka domo akununulia barakoa..!

Akikutafuna washer yako utamlilia Nani??
 
Mkuu we umetoa kiasi gani?usimpangie mtu kisa ni celebrity, hata we unaweza kutoa msaada sanitizer 10.

Huwezi kujua bajeti ya mtu labda ameinvest sana hana hela au amechukua mkopo.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
91090800_152594802710847_6667482052926566271_n.jpeg
 
Back
Top Bottom