Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Uyu mzee atakumbukwa kwa mengi kama jina lake alikuwa mtu wa mfano na kuigwa kwnye upande wa kujitoa yeye kama kioo cha jamii alikua mstari wa mbele kabisa. Mungu ailaze roho yake mahala pema daima
Mheshimiwa Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na mkuu wa wakuu wa mikoa yote alikuwa sahihi [emoji817] aliposema hakuna mchagga mwenye moyo wa kujitoa kama mzee Mengi.
 
Mheshimiwa Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na mkuu wa wakuu wa mikoa yote alikuwa sahihi [emoji817] aliposema hakuna mchagga mwenye moyo wa kujitoa kama mzee Mengi.

Inawezekana ila Mzee Mengi sio kwa upande wa wachaga tu hadi kwa taifa alikua mtanzania mwenye moyo wa kujitoa sana. Watu wasiojiweza na wahitaji watamkumbuka sana.
 
Hayo ni mawazo yako tu binafsi kuna watu wengi maarufu wametulia tu so wao kuwa kimya sio ajabu na wala sio lazima, na pia hujui nyuma ya pazia wamepatwa na nin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we umetoa kiasi gani?usimpangie mtu kisa ni celebrity, hata we unaweza kutoa msaada sanitizer 10.

Huwezi kujua bajeti ya mtu labda ameinvest sana hana hela au amechukua mkopo.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hata nikitoa utajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom