Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Hao ni walalahoi bado wapo kwenye ngazi ya utafutaji mfano wote uliowataja wanazidiwa uchumi na masanja mkandamizaji
 
Mo kashatoa ngap mpaka sasa? Na anatengeneza kila kitu sanitizer na sabuni lakini hajatoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila changamoto ni fursa ya kutengeneza kipato zaidi kwa matajiri wanaojua kuziona fursa nampongeza ila kwa upande wa kutoa sijui kila mtu anaguswa kwa namna ya pekee. Ivi ni lazima mtu akitoa msaada atangazwe/atangaze???
 
Kibosho1,

Waswahili walisema, cha mtu mavi.

Pia, walisema, kutoa ni moyo, usambe utajiri.

Usilazimishe mtu kusaidia kama hajajisikia mwenyewe.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kibosho1
sometime kuna vitu vinaumiza sana,yani unalipa kodi kubwa halaf bado utoe msaada kwa serikali kunenepesha wowowo za watu?
 
Basi angalau hata wachange kama jamii ya wasanii waanzishe mfuko maalumu ili wasaidie jamii ktk kipindi hiki wauite hata Bongo stars charity Fund...wajichange change hela kwa pamoja kwa umoja wao watoe kama jamii mmoja mmoja wataumia maana tunajua wazi hawana hela..wàmchagur hata Majizoo and then tofaut zote kwenye industry kuanzia bongo movies,bongo fleva,singeli,wacheza ngoma n.k wawe kitu kimoja hakika jamii itawakumbuka sana Bahati mbaya sidhan kama hilo wazo watalifanyia kazi
Tuanze na wewe,

Wewe umeshatoa mchango gani/ uneshatengeneza mfuko ukauitaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU CHAKE.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom