Celebrities wameanza kusema kweli, wanamuziki kemeeni

Hawa ni wageni kwenye game ya mziki?
 
Inatakiwa Kila makundi katika jamii yapige kelele Sasa,hali mtaani sio nzuri.
Na hiyo jamaa aachiwe huru sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…