Celebrities wengi wanaiogopa JF au hawaipendi?

Chezea jf wewe utachamba wima . Wenyewe wanapenda wakitupia picha kwenye mitandao wasifiwe ukifanya other wise ni hater hawapendi kuambiwa ukweli
Umu Bana Panaitwa Makav live,Watu wanakupa za uso mwenyewe unaomba Poo na Hurud tena.Kule si washazoea Sifa za Kijinga,UTASIKIA; You're on point,Cjui You're beautiful inside n out,Inside unamjua wewe? Mara cjui ."U r naturally beautiful Baibe" Hata Kama umetumia Mkorogo.lol
 
Hahahaaaa, nimecheka sanaaaa eti "inside unamjua wewe"....lol.
 
Hahaaaa umenikumbusha ile thread ya Lupita kuwa mwanamke mrembo duniani ilivyoshambuliwa sasa na raia hahaha
 
Celebrity wa kibongo? Hahaaha kina Ray na akina Sepetu watatuambia nini great thinkers, shangaa hawajui kuandindika kiswahili hata wanaandika ata ...... Nk nk
 
Ha ha ha ha ila kifes mbish na uceleb Mbuz wake kafos kik umu mpk tukamjua lol
jamaa anapenda sana kuforce maisha shule ilimshinda ndo maana analazimisha vitu ambavyo havipo kwake, usitafute sifa subiri sifa zikufate, Kifesi
 
Last edited by a moderator:
jamaa anapenda sana kuforce maisha shule ilimshinda ndo maana analazimisha vitu ambavyo havipo kwake, usitafute sifa subiri sifa zikufate, Kifesi

khee nimechokoza nyuki
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa!

Hivi Tanzania celebs ndio wanaongoza kwa kukimbia umande na ni wabishi???

Niki II, Mwana FA, Jokate, Craze GK na wengine wachache wanajitahidi kwa MA's na BA's 😀
 
hahahahaaa!

Hivi Tanzania celebs ndio wanaongoza kwa kukimbia umande na ni wabishi???

Niki II, Mwana FA, Jokate, Craze GK na wengine wachache wanajitahidi kwa MA's na BA's 😀

hawa nawapongeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…