Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Haka katoto kazuri na kako vere smart

Ila sijui kwanini anaachika kwenye ndoa
 
Midomo mikubwa na mipana huyo ni mama huruma. Hamnyimi mtu bali huwahurumia wanapomlilia. Midomo membamba na kidomo kidogo ni msemaji kama kameza betri ya chapa paka pacha. Akiwa na macho maangavu huyo ni kicheche tena chunga sana pochi yako. Vifundo vimevimbiana na miguu milonjo jua huyo ni mtera
Mhh
 
Nyie mnaosema hamna kitu hapo mtuambie mna maana gani ili wengine tujue sio kutuacha njia panda sio vizuri mjue[emoji57]
 
Wanajamvi,
Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder"
Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie au Bongo Fleva artist anaitwa Menina Abdulkarim, kwa macho yangu ni mzuri sana yaani kawapita wote na hana makuu (skendo za kila leo) hakika hapa Mungu aliumba kuanzia sura, jicho,shepu, mguu hadi sauti Basi sifa zimrudie Muumba
Nawasilisha kwa Heshima
Kk najiulza hiv kwann vzur ving havna ubora
 
Ubaya wa ma manzi kama hawa, kitandani gogo, wao kaz yao kutoa milio ya wiz tu kama paka[emoji23][emoji23][emoji23]

Nina ujuzi nao usiniulize kwann nimeongea hvyo[emoji34]
 
Midomo mikubwa na mipana huyo ni mama huruma. Hamnyimi mtu bali huwahurumia wanapomlilia. Midomo membamba na kidomo kidogo ni msemaji kama kameza betri ya chapa paka pacha. Akiwa na macho maangavu huyo ni kicheche tena chunga sana pochi yako. Vifundo vimevimbiana na miguu milonjo jua huyo ni mtera
Hahaaa, sasa Kwa hizi sifa mbona hamna hata mwenye nafuu[emoji3] [emoji3]
 
Umeona sifa za mwanamke midomo mipana kama huyo uliyesifia wewe, kuwa wana tabia gani za hovyo?
Kifupi kusifia mwanamke nje ya mashindano ya urembo ni matusi, kwa sababu kila mwanamke ni mzuri machoni pa amtakaye na hawashindanishwi, maana hawana sifa specific za uzuri. Kila kitu kwa mwanamke ni kizuri.

Usiye muona mzuri wewe, mwenzako anampaparikia kinyama.
 
Back
Top Bottom