Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Hapana sie yeye...
Mkuu
Nasemea huyo kibonge mweusi si huyo mzungu...Hapana sie yeye...
Mkuu
Na katika hizo nchi....hiyo industry iko driven na wazungu....hakuna ubabaishaji....mambo ya kipaji bila taaluma kama bongo muvi hayana nafasi...Kwa Africa South Africa na Zimbabwe ndiyo wanaotengeneza movie siyo hizi taka taka za waghana, wanaija na watz maigizo sijui nini eti tunaziita movie.
Mr bones anachekesha saaana
Kabisa mkuu unatazama movie unaona kweli hii movie lakini haya maigizo ya kwetu hakuna kituNa katika hizo nchi....hiyo industry iko driven na wazungu....hakuna ubabaishaji....mambo ya kipaji bila taaluma kama bongo muvi hayana nafasi...
Muzee wa kuvuku land huwa movie zake unacheka mwanzo mwisho...kuna ile alikua na jiwe la maajabuAngalia oh schuck I'm gatvol utapaduka mbavu nakuapia
Hapana sie yeye...
Mkuu
Sa bushman anaingiaje hapa?Alipotezwa vibaya na bush man wa the gods must be crazy