Celebrity Corner: Mfahamu Leon Schuster (Mr Bones)

Celebrity Corner: Mfahamu Leon Schuster (Mr Bones)

Kwa Africa South Africa na Zimbabwe ndiyo wanaotengeneza movie siyo hizi taka taka za waghana, wanaija na watz maigizo sijui nini eti tunaziita movie.
Mr bones anachekesha saaana
Na katika hizo nchi....hiyo industry iko driven na wazungu....hakuna ubabaishaji....mambo ya kipaji bila taaluma kama bongo muvi hayana nafasi...
 
Na katika hizo nchi....hiyo industry iko driven na wazungu....hakuna ubabaishaji....mambo ya kipaji bila taaluma kama bongo muvi hayana nafasi...
Kabisa mkuu unatazama movie unaona kweli hii movie lakini haya maigizo ya kwetu hakuna kitu
 
Haha mleta mada umenikuna kweli kuniletea huyu jamaa, huwa namkubali sana. Kwenye orodha ya muvi zake hapo zingine sijaziona, ngoja nifanye mchakato..
Time to blow my mind n hold my ribs baaack
 
Back
Top Bottom