ay na alikiba
je tunaruhusiwa kumtaja msanii mkuu anayemaliza muda wake oktoba?
ay na alikiba
Walikimbiza mji kipindi hiko.... Mie nilikuwaga siwajui ila hadi nikaanza kuwafatilia habari zao.... Waliendekeza show off starehe mwisho wake ndio huo
Dah na kuna v12 moja hivi s600 plate number I'm rich dah kweli hakuna marefu yasiyo na ncha
Cynthia na Richard wako hoi... Pesa zimekwisha si kama zamani..
Fetty na Mmiliki wa SamakiSamaki zote bongo hapa!!Yamenifika hapaaaa!!!
ay na alikiba
Ina maana king cray GK muda wake wa kupumzika hapo ulisha expire?
Gk na Fetty no way...
Au wamfananisha Diva loveness wa Ala za Roho maana ye ndio alikua anatoka na GK sijui bado wanaendelea