Celebrity couples tajiri zaidi Tanzania

Celebrity couples tajiri zaidi Tanzania

Jokate hela katoa wapi au malapa yale? Ali Kiba tunajua hana kitu juzijuzi kafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga

Partnership with Rainbow shell craft from China
 
Duu nilidhanibkuna takwimu zinazoonesha vigezo vya utajiri wao, kumbe ni kila mtu aweke kwa kuzingatia vigezo vyake mwenyewe!!!
 
Walikimbiza mji kipindi hiko.... Mie nilikuwaga siwajui ila hadi nikaanza kuwafatilia habari zao.... Waliendekeza show off starehe mwisho wake ndio huo

Sijui kwa sasa wanapiga mishe gani Ila noma hawawezi kurudi kwenye lile bataz
Dah na kuna v12 moja hivi s600 plate number I'm rich dah kweli hakuna marefu yasiyo na ncha

Aisee ni shida jamaa aliosha sana zamu yake kula vumbi.
 
Gk na Fetty no way...

Au wamfananisha Diva loveness wa Ala za Roho maana ye ndio alikua anatoka na GK sijui bado wanaendelea

Asante kwa masahihisho mkuu hawa madiva watangazaji wana nichanganya.
 
Back
Top Bottom