Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Jokate anaishi kama bado mwanafunzi wa chuo.
Na zile tatu kichwa alizosuka safari hii mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jokate anaishi kama bado mwanafunzi wa chuo.
Cynthia na Richard wako hoi... Pesa zimekwisha si kama zamani..
Na zile tatu kichwa alizosuka safari hii mmh
Jokate hela katoa wapi au malapa yale? Ali Kiba tunajua hana kitu juzijuzi kafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga
Jokate anaishi kama bado mwanafunzi wa chuo.
Aisee Hao jamaa walikuwa balaa bataz refu sana,gari za kimarekani plate number ni Richard Texas kweli hakuna marefu yasiyo na ncha.
Andika Mirathi mapema

Fetty na Mmiliki wa SamakiSamaki zote bongo hapa!!Yamenifika hapaaaa!!!
Andika Mirathi mapema
Mdada aliyeoana nae yu wapi? Alimzalia watoto nadhani mmiliki huyo.
Fetty na Mmiliki wa SamakiSamaki zote bongo hapa!!Yamenifika hapaaaa!!!
Inamana fetty anatoka na Carlos yule mzungu kichaa? Eeh