Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
kuna CMC kaka zaidi ya hio kuna garage standard nyingi tu wanatengeneza hayo magari...hatuko nyuma kiasi hicho.... anaesumbuliwa na gari yoyote hata Bentley awasiliane na mimi.
Nafurahi kusikia hilo.
Ila hata siku hizo CMC ilikuwapo, ila parts ilikuwa mpaka Nairobi.
Hata Ubalozi wa Marekani ulikuwapo bongo, lakini maswali mengine ukiwauliza walikuwa wanakwambia hawana labor attache ubalozi wa Dar, wana ku refer Nairobi.
Kwa hiyo kuwa na CMC si tija.
Na siongelei mafundi wa vichochoroni, naongelea authorized dealers.
Hela za madafu hazitishi.
Juzi nimemtumia mtu hela za Chrismas bongo, a paltry $600. Kuja kufanya conversion that is a million shillings already!
Vinoti sita tu vya ku spend weekend (Friday tu, hata weekend havimalizi) huko mzigo wa noti.
Sasa ukipiga picha na $5000 -10000 in shillings unazuzua watu.
Halafu watu wenye ushamba kupiga picha na hela ni ma rappers wasioenda shule pamoja na wauza unga.
Sitegemei wakili aliyeona madarasa apige picha na cash, watu wanaenda na ulimwengu wa cards, habari za cash kwani anauza madawa ya kulevya?
kesho keshokutwa akiwa framed kwa case ya "money laundering" na zikitolewa picha kama ushahidi? Atasemaje?
kwenye magari sio kila part itapatikana sehemu moja....kwahio sio ajabu CMC kuagiza baadhi ya parts Nairobi/SA/UK hata hao wa nairobi kuna parts wanaagiza nje ya nairobi...magari hayo ndio shughuli yangu na kuna parts za Range Rover hata UK hawana wanaagiza German....nimejibu tu swali lako kwamba tangu enzi zile range zinatengenezwa nairobi...no zinatengenezwa hapa hapa tz ila ukiamua unaweza kwenda kutengeneza hata UK
Kiranga TATA ni wamiliki tu tena kwa makubaliano production itaendelea pale midlands UK kwa standard za UK tu...TATA hawana mkono wao kwenye design wala technology....Range gari za wahindi siku hizi, so sema "hata Mumbai" sio "hata UK".
Labda CMC Dar. Hawa wa Ar magumashi. Usiombe utumbue range mkuu! Na ikitokea, Naii ni km270 tu. Dar 670!!!
Kiranga TATA ni wamiliki tu tena kwa makubaliano production itaendelea pale midlands UK kwa standard za UK tu...TATA hawana mkono wao kwenye design wala technology....
utaangalia wapi karibu kwako....hatujafikia kiwango cha kuwa na toyota authorised dealers tanzania nzima itakuwa RR??
Kama ni wamiliki, wana mkono kwenye design na technology angalau kama wamiliki.
Kama hawana mkono kabisaaa kwenye design na technology, huwezi kusema ni wamiliki.
Range zimewekewa mpaka injini za Ford ilipokuwa chini ya Ford, leo unaniambia TATA hana mkono kwenye design and technology?
Range Rover zinatengenezwa mpaka China wewe unakalaghabaho na Midlands tu huko?
Wachina wametengeneza mpaka Range Rover feki wewe bado unasifia quality ya Range Rover tu bado?
Range Rover zilishakuwa messed up tangu zilipokuwa chini ya Ford, leo unasema TATA habadilishi kitu, habadilishi nini, mess ya Ford?
Money talks, wealth whispers.Nouveau riche.
Old money doesn't floss.
You are joking right?
Tanzania hakuna Toyota authorized dealer?
Duh, kibenz cha macho ya paka tangu enzi za Nyerere.
Nakumbuka Nyerere alikuwa nacho kimoja cha hivi anakitumia.
Wabongo wengine hata hawajui kwamba kuringishia kibenzi hiki ni scandal, nchi nyingine huruhusiwi hata kukifanya taxi on the grounds kwanza kimepitwa na wakati.
soma vizuri....nimesema hatujafikia kiwango cha kuwa na authorized dealers TANZANIA NZIMA,meaning kuna sehemu hakuna.
Onyesha na ww 504 yako basi huna ata spoku ya baiskel unaponda tu....kazini daily unafika umeja ma jasho kwaa ajili ya kugombania dala dala