Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Au dadake King'asti alitununulia dikshenare?
Apite hiiivi >>>>>>>>> na yai lake!
Sie atuwache tushangae marange rover ya Adivoket wetu hata kama mziki wake pande zile ni tia maji tia maji! Sosi amu

Hakyamungu odo umeshindikana...
Haaaa
 
Last edited by a moderator:
msando simkubali kihivyo ila baada ya kupitia huu uzi nimegundua kawakomesha wengi hadi humu ndani...watu wamepanic!

Wamepanic hatariiiii.
Mwenzao ana hatimiliki wao wakija wanaomba kwa washkaji kung'olea madem wakali.
Na usishangae wakirudi wao ndo wa kwanza kwenda kwa msando kuazima gari la kutembelea mjini
 
kuna mtu alinambia ukichati na demu ,inawezekana ukachati na mashosti zake via screenshot!!

yaani full kuuzishana mafaili ndo maana mikuyati INA soko sana hapa Tanganyika!!

Yes..
Inategemea na aina ya mwanamke.
Hao wa mjini..lazima tupewe screen shots..
Tufukunyue file...
 
jamaa ana Benz 3
Range Rover _2
1_BMW
2_Toyota
1_pigeout
na motorbike 3 na ana 35 yrs tu.

sasa Wewe mchukie tu mtu aliyekuzidi kila kitu na wala hakujui!!

[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=get]#get [/URL] angry or [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=get]#get [/URL] inspired!!

mimi nimeamua kuwa inspired!!

Mi nimeamua kuamini anaiba...... anafanya haramu! @35? Bongo hii hii? Spare me pleaaaaaase....... Kipi likubwa anachofanya unachokijua? Uloya? C'moooon....... eti umaarufu baada ya kuwa diwani!!! YOU PEOPLE!!!
 
Wadada siku hizi pamoja na churuga wanataka shughuli kama hujui..wanakutangaza hatariiii.
Watu wanakuchora tu unavyowapaka shombo..

Hehehehee...aisee hapana chezeya churuga na shughuli ....sasa basi hebu njoo pandw hizi
 
Hahahahahahahahaha
Kwa post ya amu wallahi Albert atatamani kuweka video ya shughuli zake!
Kutetea utajiri wake na pande hizo
Aseee amemuua vibaaaaaya!
Dah!
Kama namuona na vile vizibao vyake!

Hadi ile ya yule mweupe kupitiliza?
 
Naona mapovu yamewatoka!!ametibua amani ya mioyo aisee,bora mie nlijisemea am envy!
 
Bongo hivi hiyo mi Range ikikongoroka washapata sehemu ya kutengenezea hapo?

Nakumbuka back in the nineties Range likiharibika vifaa mpaka Nairobi.

Siku hizi unakuta Sport inanguruma kama kombi..... nani ana ubavu kupeleka Nairobi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom