Mimi huwezi kunikuta na-flash wads of cash in any currency.
Huwezi kunikuta Facebook, Instagram, Twitter na huko kwingine ambako watu huweka mapicha yao.
And 20K ain't a thing to me. I don't need to inspire strangers on the world wide web.
20K ndio nini?
Naona Diaspora now wanamjibu Wakili indirectly!!
Mara kudraw madolari NBC!! Mara matumizi yao wakirudi likizo!!!
Nyani Ngabu na Kiranga nanyi Mme_ni inspire mjue!!
one day Nita draw hizo dolari nyingi Huko NBC!!
I didn't mean to inspire anybody, just putting things into perspective.
IF U WANNA HATE ME, HATE ME
What can I do?, funny I was just like u, I had 2 hussle hard until I made it.....now u are sayin..........
These are my cars & house u can live in that too
People warned me , when you are on top there is envy
hahahaaa imagine Rugemalila anavyogawa mabilioni yake kwa mavi mavi angeamua kupiga nazo picha zile biilioni 1.6 alizompa chenge na 1.6 alizompa tiba,then apige picha na zile USD $78 million alizolipwa escrow sijui kama pangetosha insta. Au mohamed dewji na mengi wapige picha na mabillion ya dollar walizo nazo sizani kama Gavana benno ndulu ana izo hela reserve za kuwapatatia kwa muda watakaotaka kupiga nazo picha fweza zao. Na ukizingatia hapa hakuna hata nyani moja anayefahamu gari la mengi hata moja linafananaje
No kidding! Arusha ni lazma uende Naiii ...
Hao umewataja hapo juu ni watu heavy sanaaa
Kuna vijana wanacash huku huku mtaani mpaka mtu unaogopa
Lakini we live with them na hutasikia mbwembwe insta wala Fb
To me its bull.shi.t
Iliyemtouch si "mbeba box" wa kweli, labda mtu asiye na makaratasi anayefanya kazi za kulipwa under the tables.
I got cribs in the hood and leafy burbs, Gotham no less. And next month I'm giving kid bro seed money to buy a multifamily. Why should I be touched by an obvious limbukeni who despite of slugging it through a law degree, apparently still does not know what is an asset from a liability and not to act like some common limbukeni stuck back with eighties uneducated rappers?
Na hata ningekuwa Manzese kwa mfuga mbwa, kwa nini niwe touched na cha mtu?
Ukichukulia jf serious utaona ni wewe tuu ndio bado unaishi kwenye three bedroom apartment na ni wewe tuu umebakia na Rav4 ya mwaka 2001.
sasa hiyo #getangry #Getinspired ina faida gani kwa watu wengine zaidi ya kuringishia tuu. mbona uko chadema kuna kina zito na kina mbowe wana hela ndefu zaidi na hawaposti instagram? na wanasheria kina mkono nao wafanyeje? au wakina Masha nao waringishie itakuwaje? kuinspire watu siyo kuwaringishia magari yako hebu ona Mengi anavyoangaika na kina mama na saccos ndo ujue maana ya #getangry #Getinspired
- Binafsi between Nyumba na Apartment ninachagua apartment sipendi majumba makubwa lakini kama kuna wenye majumba wameamua kuyaonyesha sawa hakuna kosa kama huna huwezi kuonyesha basi nyamaza tu
Le Mutuz
- Kila mtu na maisha yake kama kuna aliyeamua kuyaweka hadharani ni haki yake na ni uamuzi wake hajavunja sheria, kama kuna aliyeamua kufanya maisha yake siri sawa sawa nani hakimu hapa wa kuwaamulia wananchi namna ya kuishi maisha yao? Kama hupendi zima Radio au badilisha channel zile enzi za Ujamaa ziliisha saafi sana Albert asiyetaka afwe
Le Mutuz
Acha uongo Usa River kuna garage ya hayo makitu.