Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Mimi huwezi kunikuta na-flash wads of cash in any currency.

Huwezi kunikuta Facebook, Instagram, Twitter na huko kwingine ambako watu huweka mapicha yao.

And 20K ain't a thing to me. I don't need to inspire strangers on the world wide web.

20K ndio nini?
 
Naona Diaspora now wanamjibu Wakili indirectly!!

Mara kudraw madolari NBC!! Mara matumizi yao wakirudi likizo!!!
Nyani Ngabu na Kiranga nanyi Mme_ni inspire mjue!!

one day Nita draw hizo dolari nyingi Huko NBC!!

I didn't mean to inspire anybody, just putting things into perspective.
 
Last edited by a moderator:
IF U WANNA HATE ME, HATE ME

What can I do?, funny I was just like u, I had 2 hussle hard until I made it.....now u are sayin..........

These are my cars & house u can live in that too

People warned me , when you are on top there is envy

Sawa Nas wa Kyabakali.
 
hahahaaa imagine Rugemalila anavyogawa mabilioni yake kwa mavi mavi angeamua kupiga nazo picha zile biilioni 1.6 alizompa chenge na 1.6 alizompa tiba,then apige picha na zile USD $78 million alizolipwa escrow sijui kama pangetosha insta. Au mohamed dewji na mengi wapige picha na mabillion ya dollar walizo nazo sizani kama Gavana benno ndulu ana izo hela reserve za kuwapatatia kwa muda watakaotaka kupiga nazo picha fweza zao. Na ukizingatia hapa hakuna hata nyani moja anayefahamu gari la mengi hata moja linafananaje

Hao umewataja hapo juu ni watu heavy sanaaa

Kuna vijana wanacash huku huku mtaani mpaka mtu unaogopa

Lakini we live with them na hutasikia mbwembwe insta wala Fb

To me its bull.shi.t
 
Hao umewataja hapo juu ni watu heavy sanaaa

Kuna vijana wanacash huku huku mtaani mpaka mtu unaogopa

Lakini we live with them na hutasikia mbwembwe insta wala Fb

To me its bull.shi.t

- Kila mtu na maisha yake kama kuna aliyeamua kuyaweka hadharani ni haki yake na ni uamuzi wake hajavunja sheria, kama kuna aliyeamua kufanya maisha yake siri sawa sawa nani hakimu hapa wa kuwaamulia wananchi namna ya kuishi maisha yao? Kama hupendi zima Radio au badilisha channel zile enzi za Ujamaa ziliisha saafi sana Albert asiyetaka afwe

Le Mutuz
 
Iliyemtouch si "mbeba box" wa kweli, labda mtu asiye na makaratasi anayefanya kazi za kulipwa under the tables.

I got cribs in the hood and leafy burbs, Gotham no less. And next month I'm giving kid bro seed money to buy a multifamily. Why should I be touched by an obvious limbukeni who despite of slugging it through a law degree, apparently still does not know what is an asset from a liability and not to act like some common limbukeni stuck back with eighties uneducated rappers?

Na hata ningekuwa Manzese kwa mfuga mbwa, kwa nini niwe touched na cha mtu?

- hahahahahahahahah sizitaki mbichi hizi hahahahahahahha

Le Mutuz
 
Ukichukulia jf serious utaona ni wewe tuu ndio bado unaishi kwenye three bedroom apartment na ni wewe tuu umebakia na Rav4 ya mwaka 2001.

- Binafsi between Nyumba na Apartment ninachagua apartment sipendi majumba makubwa lakini kama kuna wenye majumba wameamua kuyaonyesha sawa hakuna kosa kama huna huwezi kuonyesha basi nyamaza tu

Le Mutuz
 
sasa hiyo #getangry #Getinspired ina faida gani kwa watu wengine zaidi ya kuringishia tuu. mbona uko chadema kuna kina zito na kina mbowe wana hela ndefu zaidi na hawaposti instagram? na wanasheria kina mkono nao wafanyeje? au wakina Masha nao waringishie itakuwaje? kuinspire watu siyo kuwaringishia magari yako hebu ona Mengi anavyoangaika na kina mama na saccos ndo ujue maana ya #getangry #Getinspired

Pitiaaa huku unywe soda ya wakubwa, yaani hakuna haja ya kuongeza chochotee inabaki Kama ilivyoo
 
- Binafsi between Nyumba na Apartment ninachagua apartment sipendi majumba makubwa lakini kama kuna wenye majumba wameamua kuyaonyesha sawa hakuna kosa kama huna huwezi kuonyesha basi nyamaza tu

Le Mutuz

Tatizo wewe sasa unaringishia hata picha ulizopiga kwenye magari ya kina Bakhressa na kina Davis MOsha which is a Damn! SHAME.......:confused2:
 
- Kila mtu na maisha yake kama kuna aliyeamua kuyaweka hadharani ni haki yake na ni uamuzi wake hajavunja sheria, kama kuna aliyeamua kufanya maisha yake siri sawa sawa nani hakimu hapa wa kuwaamulia wananchi namna ya kuishi maisha yao? Kama hupendi zima Radio au badilisha channel zile enzi za Ujamaa ziliisha saafi sana Albert asiyetaka afwe

Le Mutuz

Le Big Show try to understand!

Huwezi kumock people kwa kutumia mali zako hiyo ndio point yangu

Siwezi kumchagulia mtu lifestyle kwasababu hata mimi sijachaguliwa na mtu niishije

BTW i still ask myself hivi wakiamua watu wenye hela zao kupost kuanzia jewerly,cars,condo nk huyu ndgugu yetu wakili mjanja atauweza mtiti!

NB: Hiyo gari mnayoiita macho ya panzi (sijui) its worth a Pendant!
 
Wengine tumezaliwa na hvyo vitu. Mimi niko 30s i own two cars. 1 bmw 5series and a toyota . Do what? Kuna lipi la kuweka instagram nk.
Najiona maskini sana bado kwakweli and am only 30
Wazazi wangu wanauwezo wa kununua hata range rover 2015 ila wanaendesha gari ya kawaida tena klugger . So namshauri aache mashauzi yake zaidi kupublicize wToto wake na hela zake. Sio sawa hata kidogo. Keep it professional bro!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom