Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
na tofauti yako na yeye hapa ni ipi labda? au kwa ajili yeye ameweka picha? au sababu yeye kaonyesha mengi yake na wewe unaongelea uwezo wa wazazi??
mi nlitaka niulize hivo hivo ila alishajihami aminiusiamini
 
Last edited by a moderator:
Naona huko aliko anajuta:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarassed2::embarassed2:
 
Kawaida sana mkuu unless kila Mtu na yeye aonyeshe ya Kwake hii JF ITAJAA siyo Siri
 
Mbona kajumba ka kawaida sana, labda kama kapo maeneo ya city center (posta) ambako ardhi inathaman ya hera za escrow. Sioni na sihusudu utajiri wa magari

Wote nyie wivu wenu wa kike.Hela anayo na hakuna kima yeyote humu JF anaweza tia mguu kwa Msando.

Tafuteni hela vijana acheni wivu wa kike.Mbuma nyie
 
Watu wa middle class ndiyo wapi mkuu?
Hiyo nyumba kanunua dola laki 3 , kwa mtazamo wangu watu middle class kibongo bongo hawezi kuwa nazo.

Unajua in reality tulijadili tu hizo picha hatukumjadili yeye that much sababu hatumjui in details
so yaweza kuwa ni tajiri...good for him....hapa JF sometimes we are having fun....nothing serious...
 
halafu wewe ntakuhonga juice ya miwa ya mtaa wa sikukuu pale halafu shughuli yake ndo utajuuuta kumponda lawyer humu lol
Hahaaa@Boss umenikumbusha juice ya miwa enzi hizo pale Mnazimmoja shule ya msingi, na chips dume. Sijui hao mabwana bado wapo?.
 
Na-declare interest kuwa me ni mmoja kati ya client wa mara kwa mara wa business yake tena namuombea afungue V.I.P kama inavyosemekana kwenye eneo lake pale kwa Mkindi.
Kijana nishawahi kuparuana naye hadi level ya kuandikiana demand note letter ila mpaka sass sijaona sababu yoyote ya yeye kushambuliwa kwenye izo vitu zake.
 
Hilo lizee la kwenye picha si ni lizee lizoefu la helicopter kwa ruti za DAR-MORO?
 
Mjini wanaume ni wale wale halafu wanaume wa chugga washamba sana wakija dar kila mwanamke wanataka kumfunua.
Ila siyo mimi ni hafsa na shamsa ndo waliniambia...wakarudi na ukame wao..

We mwanamke una maneno🙊
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…