Naona huko aliko anajuta:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarassed2::embarassed2:
Ndio uzuri wa kifo. Atakufa tena mapema tu.
Naona huko aliko anajuta:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarassed2::embarassed2:
Hahahaha me nilijua hiyo mineno ya kiinglish umeitunga mwenyewe bana
Wewe ni mlinzi wa mochwari,mchimba makaburi,muuza sanda au mchawi?
Wewe mwenyewe unajua utakufa lini
Atii?Pesa za nyaga hizo aache kujifanya get ispired....ngojantuone kama ataongeza mengine maana alikuwa anatumia mgongo wa jamaa kupitisha bandarini bure.....waliovitolea jasho huwa hawavionyeshi kwa sifa....
Tanzania level ya mtu kuitwa 'tajiri' inategemea kiwango cha umaskini cha walio mzunguka
go figure
Mi na mwalimu tu mpaka kieleweke mambo ya kufia vifuani mwa watoto nataka?
Hahaaa@Boss umenikumbusha juice ya miwa enzi hizo pale Mnazimmoja shule ya msingi, na chips dume. Sijui hao mabwana bado wapo?.
Nasikia wapo ndo hapo ntampleka amu kabla ya kumpa shughuli pevu cc@snowhite
Jamaa naskia ni ana viumbe vidogo uvunguni sijui ni kweli
Unajua in reality tulijadili tu hizo picha hatukumjadili yeye that much sababu hatumjui in details
so yaweza kuwa ni tajiri...good for him....hapa JF sometimes we are having fun....nothing serious...
HhahahahahahahahahahahahahaAngalia nsije nikakutangaza kama Dramaqueen alivyontangaza alberto...
Hata hiyo juice ninyime ila baba ujue kukoroga.
Ukishindwa nakutangazaaaaa na utabadili id