Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
na tofauti yako na yeye hapa ni ipi labda? au kwa ajili yeye ameweka picha? au sababu yeye kaonyesha mengi yake na wewe unaongelea uwezo wa wazazi??

Acheni wivu wa kike. Tunapongea jambo kama hili lazima tulenganishe na jambo lingine liweze kuleta maana au ufafanuzi.
Katika matajiri mimi bado sipo. Lakni naelekea huko mkuu. Utajiri sio kuwa na nyumba mbezi na kagari.
Am thinking big hommie!!
 
We buy things we don't need for the money we don't have to impress the people we don't like.
 
Ndo nini.

I didn't mean to inspire anybody, just putting things into perspective.

Mkuu Deo Corleone

Hawa wakuu wawili sio wabeba box,hawa watakuwa wamiliki wa makampuni huko duniani maana wapo njema sana. Mwenzangu na mimi nabeba box Lakini hizo hela wanazo zitamka na matumizi yao kwakweli nashindwa kuelewa hilo box wanalibebea wapi.

Halafu mkuu Kiranga hizo simu ulizo taja awali kuwa unazinunua kama unanunua karanga si zipo za contract T-mobile na wenzake wanakupa kwa mkopo? Hizo hata mbeba box mimi ambaye nipo hoi Naweza kuwa nazo
 
Last edited by a moderator:
big Rollie top down on any block, niggas know me The only one that's topping Forbes, I'm gettin' lonely.
You could go to any hood, bet they know me Rose gold pinky ring,master Rollie. Boy, you'se a little nigga; Gary Coleman(rip) I be calling all the shots, I'm big homie.
#GetInspired #GetAngry #Itcanbeyou
 
Halafu huko mliko Si kuna Uhuru sana wa kuchagua?

sasa Alberto kachagua hayo mabenz na marange kuu kuu (per ngabu),kwanini usiheshimu tu machaguo yake !!

NB.Nijibu kwa kiswahili!!

hahaaaaaa haaaaa nimecheka sana hapo kwenye NB.

dah bado nacheka ....hahaaaa
 
Acheni wivu wa kike. Tunapongea jambo kama hili lazima tulenganishe na jambo lingine liweze kuleta maana au ufafanuzi.
Katika matajiri mimi bado sipo. Lakni naelekea huko mkuu. Utajiri sio kuwa na nyumba mbezi na kagari.
Am thinking big hommie!!

Nyumba na gari ni moja ya utajiri mkuu
 
Mimi sijaona tatizo la huyu Wakili Msando, gari zake, nyumba zake, pesa zake...na wewe tafuta zako!

ni wivu tu unasumbua unajitahidi kufanya kazi kwa bidii mwaka mzima hata bajaj huna utaacha kuona wivu. ?
 

Huyo katokea kwenye njaa kali hivyo kwake yeye amejikwamua, na watu wa aina hiyo hata umwambie nini hawezi kukuelewa,atawaheshimu wale waliomzidi tu ,kama huna kitu usimsogelee huyo jamaa, atakudhalilisha atakunyanyasa ni mshamba by the way
 

Kiranga hiki kitabu kinapatikana wapi hapa bongo?
 
Kiranga hiki kitabu kinapatikana wapi hapa bongo?

Mwanawane habari za bongo na vitabu hata nisikudanganye sijui kinaweza kupatikana wapi, hata qahindi wangu waliokuwa wanaleta copies za India nilikokipata "A Brief History of Time" enzi hizo sijui kama wapo, na hata sikumbuki mitaa. Jaribu pale Samora Ave bookshop opposite na Dar Chamber of Commerce (where it used to be anyway, just after Bismin if you are going to Clock Tower) au booksellers wa kati hapo.

Ukikisosa ni PM address yako nitakutumia changu, ilibidi nilivyofika Unyamwezini nikitafute tena, nikakuta kumbe mpaka huku kina a cult following kwa nondo zake. Kina ushauri mzuri sana kwa business leadership na maisha kwa ujumla.

Masomo yake ndo hayo mpaka leo nayaona, kwa wqnasheria maarufu.
 

Uko sahihi kabisa, tena unaweza kaa miezi 6 hadi mwaka hujalilipia kutokana na credit rating yako.kwa wanaoishi metropolis, gari zaidi ya moja ni useless kwa kuwa public transport inajitosheleza.

Watanzania wengi ni malimbukeni wa motokaa. nadhani ni ushamba wa kutokuwa nazo.hayo magari kwenye hizo picha ni magari ya low middle class nchi za wenzetu. na hauwezi kumkuta mtu kayakusanya kama huyo Msando, kwani hakuna sababu.

Hizi video za Hiphop zinaharibu vijana wetu.
 
Taaluma ya Sheria itakuwa rahisi sana Tanzania, why would anyone prominent or serious want to associate themselves with someone who displays this level of immaturity?

This can be Okay for a street thug, an entertainer or such, but not a lawyer tasked with handling clients with serious issues.For I believe he is exercising serious laps in judgement with these social media postings and arguments that serves no purpose.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…