Simu nilizonunua mimi ni zile za international version hazina mkataba na kampuni yoyote Marekani (Unlocked/ International, kuanzia $700 unapata Samsung Galaxy Note 4, sitaki shida ya kumtumia mtu ninayemheshimu zawadi ya simu halafu aanze kuhangaika kushindwa kuitumia kwa sababu imekuwa locked na T-Mobile)
Having said that, hata hiyo mbeba box kuwa nayo si ajabu.Mbeba box wa bongo is another matter.
eti vigari vikuukuu, kweli ni ngumu kumeza
Wewe boya, Msando ni lawyer wa wasanii wengi tu,including weusi, Ay na Fa.
Hivi unajua mchizi kaanda network ya ma rafiki wanaoweza kukutana na kupeana michongo itafanyika mwaka ni?
karibu tujiunge
Acheni wivu wa kike. Tunapongea jambo kama hili lazima tulenganishe na jambo lingine liweze kuleta maana au ufafanuzi.
Katika matajiri mimi bado sipo. Lakni naelekea huko mkuu. Utajiri sio kuwa na nyumba mbezi na kagari.
Am thinking big hommie!!
Kuna anayemchukia kwa kupiga picha na hivyo vi-gari vikuukuu?
Kuna anayemchukia kwa kupiga picha na hivyo vi-gari vikuukuu?