RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Simu nilizonunua mimi ni zile za international version hazina mkataba na kampuni yoyote Marekani (Unlocked/ International, kuanzia $700 unapata Samsung Galaxy Note 4, sitaki shida ya kumtumia mtu ninayemheshimu zawadi ya simu halafu aanze kuhangaika kushindwa kuitumia kwa sababu imekuwa locked na T-Mobile)
Having said that, hata hiyo mbeba box kuwa nayo si ajabu.Mbeba box wa bongo is another matter.
nilitumiwa BB moja iko locked Verizon aisee ninachoweza kufanya na hio simu ni call and txt sms....nimeiweka pambo tu sina kazi nayo maana haina tofauti na kitochi



