Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Wabeba box hii inawauma zaidi ya mama mjamzito,miaka yote mliobeba box mmeishia kujua slang tu,mfukoni hamna kitu.
 
Last edited by a moderator:
Wabeba box hii inawauma zaidi ya mama mjamzito,miaka yote mliobeba box mmeishia kujua slang tu,mfukoni hamna kitu.

Kuna watu wao maisha yao qameyatoa kitafuta dawa ya kansa na ku solve Poincare's conjecture.

Hawana hela wala nini.

Wamepata zawadi mwishowe, milioni za dola, wakakataa.

Ukiwa unatukuza hela wewe si lazima kila mtu awe hivyo.

Do you even know what Poincare's conjecture is?
 
Wewe unatafuta nini?
 
Nimeona kama niulimbukkeni wa kupindukia kama ni magari ni yake majumba niyake na kama nifaida anaipata mwenyewe au nikuazimisha aitwe bilionea nimeona niulimbukeni tuu na hakuna tofati nahao wanaoringia vya babazao very board
 
Huyu jamAa na rafiki yake babu jinga lemutz akili zao moja cuz wht i blv mwenye hhelA hajitangazi ilLa hela nddio inamtanggaza yeye
 
Nimeona kama niulimbukkeni wa kupindukia kama ni magari ni yake majumba niyake na kama nifaida anaipata mwenyewe au nikuazimisha aitwe bilionea nimeona niulimbukeni tuu na hakuna tofati nahao wanaoringia vya babazao very board

Ukumbuke pia hata hiyo akaunti ya Instagram alipoweka hizo picha ni ya kwake binafsi
#GetAngry #GetInsipired
 
Mtanzania akipata hela bana!!! Ila kwa ulimwengu wa tatu lazima tumpe hongera japo kuji proud kwa kumilik magari ni ushamba!!! Bora angejiproud kuwa anamiliki bank, majumba, anamiliki kampuni flan na flan...
 
Ha ha ha Akili ndogo utazijua tu kwa maneno yao. #Get Agry #Get Inspired. aliyekuzidi awe chachu ya wewe kutafuta na kumchukua haisaiidii:becky:
 
Tatizo liko wapi? Tupe instagram account yako na wewe tuone una nini:becky:. Ktranga kweli kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…